Promo

WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix.

Kuanzia tarehe 8/4-14/4 2019 simu za Infinix zitakuwa katika punguzo la bei kupitia soko la mtandaoni lifahamikalo kama Jumia na punguzo hili kufanyika kwa wiki moja ya JUMIA MOBILE WEEK. JUMIA MOBILE WEEK ni wiki madhubuti kwajili ya kuuza simu kwa bei ya punguzo, na safari hii simu za Infinix ikiwamo Infinix ZERO 6 na Infinix HOT 7 ni miongoni mwa simu zitakazopatikana kwa bei ya punguzo. Jumia mobile week imeanza rasmi tarehe 8/4-14/4 2019.

 

Infinix Mobile Tanzania inatumia nafasi hii kuingiza simu za Infinix katika JUMIA MOBILE WEEK ikiwamo simu zilizoingia sokoni mwishoni mwa mwezi wa tatu kwa dhumuni la kufanya kila mtanzania aweze kuhamia katika ulimwengu wa kidijitali, ulimwengu unaoaminika kuwa suluhisho hata kwa yale yanavyoshindikana kufanyika kwa muda mfupi.

Na ukiondoa matumizi ya simu kuwa kwajili ya mawasiliano tu lakini Infinix inatambua umuhimu wa simu hasa kwa matumizi ya kujiongezea kipata mfano Infinix ZERO 6 kupitia uwezo wake wa kamera unapata picha sasa hii kuwa ni chombo cha biashara.  sifa kuu ya Infinix ZERO 6 ni kamera, Infinix ZERO 6 imewekwa nguvu nyingi upande wa kamera  nyuma ikiwa na MP 12+MP 24 zenye kupiga picha/picha jongefu na mng’ao  wa hali ya juu sana, na kamera ya mbele ni MP 20. Katika kuhakikisha Infinix ZERO 6 inakupa picha yenye uhalisia ya mazingira husika ndipo teknolojia ya Artifficial Intelligence inapofanya kazi yake.

Kwa asilimia 100% Infinix ni kampuni yenye kujali wateja wake pamoja yakuwa Infinix HOT7 inapatikana kwa bei chee katika maduka ya Infinix lakini bado ni miongoni mwa simu zilizopo katika jumia mobile week. Infinix HOT 7 inasifika kwa kupiga muziki mzuri na hii ni kutoka na DIRAC MODE iliyopo ndani ya Infinix HOT 7.

Na kwa simu yoyote ya Infinix utakayonunua ndani ya mobile week itakuwa na warranty ya mwaka mmoja.

Leave a Comment