Entertainment

Alikiba azindua Radio Mpya inaitwa CROWN FM

Alikiba azindua Radio Mpya inaitwa CROWN FM

Alikiba azindua Radio Mpya inaitwa CROWN FM -Staa wa muziki wa Kizazi kipya @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm Dar es salaam, Tanga na Pwani.

Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua career yake na watu kumfahamu kupitia Radio.

RELATED: Alikiba’s Hit Songs That Made Him a Top Artist in 2023

Baada ya kuwa msanii kwa takribani miaka 20 sasa anakuwa miongoni mwa Wasanii na watu wanaomiliki Radio.

Leave a Comment