AUDIO: Zuy – Siko Single (Nampa Pole Ninae Shea Nae) | Download Mp3
Msanii anayechipukia kwa kasi kwenye muziki wa Bongo Fleva, Zuy Tz, ameachia rasmi ngoma yake mpya iitwayo “Siko Single”, na tayari imezua gumzo kubwa mtandaoni. Wimbo huu wa mahaba umevutia maelfu ya mashabiki, huku wengi wakiamini kwa makosa kuwa umeimbwa na Zuchu, kutokana na sauti tamu na maneno ya kuvutia yaliyojaa hisia.
RELATED: G Nako Ft Zuchu – Baila Baila
Wimbo wa “Siko Single” ni simulizi ya mtu anayejaribu kueleza hali ya kuwa kwenye uhusiano mgumu au wa upande mmoja, huku akiomba msamaha na kuelezea hisia zake kwa mpenzi wake. Zuy Tz ameonesha ubunifu mkubwa katika uandishi wa mashairi na uwasilishaji wa sauti.
Listen to “Zuy – Siko Single (Nampa Pole Ninae Shea Nae)” below;
Leave a Comment