Tanzanian music sensation Alikiba has once again captured the hearts of fans with his latest song, Mapenzi Yana Run Dunia. The track, which highlights the power of love and its deep emotional impact, has quickly become a favorite among Bongo Flava enthusiasts.
The lyrics tell a touching story of love, jealousy, and heartbreak, reminding listeners of the unpredictable nature of relationships. Alikiba’s smooth vocals and poetic storytelling make Mapenzi Yana Run Dunia an unforgettable tune.
Below are the full lyrics of the song;
Mapenzi Yana Run Dunia – Alikiba (Lyrics)
Sikatai yule muonyesha wivu
Ndiyo mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza
Lakini pia uvumilivu
Na vitendo vya karaha vilimuumiza
Mwenzio mimi ni mtulivu
Na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama ulonipa mimi
Leo inaniuma eh
Fikira ziko vibaya
Za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda
Lakini ni kama rafiki wa kima
Haya uliyofanya leo
Ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo
Ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti
Kutoka kwako na kuwa mimi naye (mimi na yeye)
Kutokana na wako wivu
Ukadariki kumuacha ajiue
Kwanini why?
Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda
Huwa… kapenda kweli
Chorus:
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (sorry)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run duniaaaa (it’s all right)
Bridge:
Feel free to love
Feel free to love
Wajua kuna waliobadilisha dini
Na yote sababu ya kupenda
Na kuna waliokimbia… hii dunia…
Sababu hiyohiyo kupenda
Yule alikupenda sana
Ninajua na mambo mengi umefanya ilala
Best wangu nilimpendaaaa
Umefanya mpaka sasa kajiua
Fikira ziko vibaya
Za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda
Lakini ni kama rafiki wa kima
Haya uliyofanya leo
Ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo
Ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti
Kutoka kwako na kuwa mimi naye (mimi na yeye)
Kutokana na wako wivu
Ukadariki kumuacha ajiue
Kwanini why?
Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda
Huwa… kapenda kweli
(Chorus Repeats)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run duniaaaa
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia)
Mapenzi yana-run dunia (it’s all right)
Outro:
Feel free to love
Feel free to love
Mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia
Dunia, dunia
Only, only love, mapenzi yana-run dunia
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Feel free to love, feel free to love
Read Also: Alikiba – Dushelele Lyrics
Alikiba’s Mapenzi Yana Run Dunia is a deep and emotional song that resonates with many listeners. It highlights the power of love and the consequences of jealousy and mistrust in relationships.
Have you listened to this song yet? Share your thoughts in the comments below and let us know your favorite line from the lyrics!
Leave a Comment