Kenyan music sensation Masauti and Tanzanian star Jay Melody have teamed up to deliver a captivating love song titled “Shule”. This heartfelt track highlights the beauty of love, commitment, and the desire to learn the language of love. With its infectious rhythm and soulful lyrics, “Shule” has become a favorite among fans of Bongo Flava and Afro-pop music.
Masauti’s Verse
Ukinipa pendo sitokuzingua
Nitakulinda, nikutunze kama ua
Nina malengo, mwenyezi anajua
Tuko pamoja, kwenye mvua hata jua
Tusafiri kote, nikupe lolote
Upendo wako, kwenye moyo umejaa
I’m ready, issokay, ni wewe wa peke
Huba lako ndani yangu limekaa
Sina unyanyapaa
Na nitaridhika
Usiku mchana, nikitaka unanipa
Mombasa to Dar, kote tutafika
Njoo tuicheze, aiyuyuyaa waichukucha
Chorus
Nipeleke wapi (shule)
Nifunze mapenzi (shule)
Najileta kwako (shule)
Fundi wa mapenzi (shule) x2
Jay Melody’s Verse
Vile unanipa penzi, ndo hapo
Napagawa, nikupe mchapo
Ah, na vile unanidekeza, ndo hapo
Nachachawa, uko peke yako, uko peke yako
Umeushika moyo
Hata kidogo, I don’t wanna let you go
Basi mwenzio
Kwako niko hoi, I don’t wanna let you go, oh
Sina unyanyapaa
Na nimeridhika
Usiku mchana, nikitaka unanipa
Usizime taa
Utashusha mzuka
Njoo tuicheze, aiyuyuyaa aichukucha
Chorus
Nipeleke wapi (shule)
Nifunze mapenzi (shule)
Najiweka kwako (shule)
Fundi wa mapenzi (shule) x2
Enjoy listening and singing along to this beautiful love song! Don’t forget to watch the lyric video on YouTube and download the song here.
Leave a Comment