Lyrics

Zuchu – Pwita Lyrics

Zuchu – Pwita Lyrics

Zuchu – Pwita Lyrics -Zuhura Othman Soud, better known by her stage as Zuchu, is a Tanzanian singer and composerShe was born in Zanzibar, but she is presently residing in Dar es Salaam, and she is signed to the WCB Wasafi record label. Zuchu recently released an incredible joint that was titled Pwita.

Zuchu – Pwita Lyrics

#VERSE

Wa rohoni

Ukweli kabisa nakukunda chane

Hapa moyoni

Peke yako umekaa your the only one ayaaya

Nawataarifu nimempata mwenyewe

Huyu ndo anaenifaa

Na nisitake kitu lazima tu nipewe

Msione nawakataaa ayaaa

#BRIDGE

Nami naahidi (Nami naahidi ayee)

Chaguo langu ni wewe (Chaguo langu ni wewe)

Sina wa zaidi (Sinaa sinaa)

Nitakupenda milele eeeh

#CHORUS

Pwita pwita, pwita pwita

Pwita pwita, moyo unanipwita pwita

Pwita pwita, pwita pwita

Pwita pwita, moyo unanipwita pwita

#VERSE

Tunaendanaaa hamuoni hata mkitutazama

Tunapendanaa mi nae kufa kuzikana

Ananipa tende nampa asali (Asali)

Mpende msipende wala sijali (Sijali)

#BRIDGE

Nami naaa

Nami naahidi (Nami naahidi ayee)

Chaguo langu ni wewe (Chaguo langu ni wewe)

Sina wa zaidi (Aaah Sinaa sinaa)

Nitakupenda milele eeeh

#CHORUS

Pwita pwita (ai jamanii)

Pwita pwita (unanipwita mimi)

Pwita pwita moyo unanipwita pwita (mhhh mhhh)

Pwita pwita (ai jamanii)

Pwita pwita (likitajwa jina lako)

Pwita pwita moyo unanipwita pwita

#OUTRO

Mhh! Wacha laizer nibakshie

Aiii wewee mamaaa

Eti iyi iyi iyi iyi ahh

Hahaaa! Njoo tucheze kompa

Oho oho oho! Oho oho oho!

Leave a Comment