Nadia Mukami ft Bruce Melodie – Kipepeo Lyrics
Nadia Mukami ft Bruce Melodie – Kipepeo Lyrics – Kipepeo –Nadia Mukami, a female award-winning artist from Kenya who is also a singer and songwriter, releases a new song titled Kipepeo, featuring Bruce Melodie.
Nadia Mukami ft Bruce Melodie – Kipepeo Lyrics
beat(Alexis on the beat)Nadia ….Bruce melody .
ndo nimefika nyumbani
Kila mtu ana tabasamu
kuna furushi la sahani na vyakula vingi vitamu
mama ake kaniambia eti mwanae anaoa ,
dada ake kasisitiza na si ww nadi anaoa
tulivyopendana hatukuwah zozana
mapenzi kwa sana na Leo wanaoana
CHORUS ) .
niliweka ahadi ntamzalia wa kwanza kaiii
wapili zuwenaaa na watatu mariaaaa
nilishamuwekea ahadi ntamzalia wanaa
wa Kwanzaa kaiii wapili zuwena na watatu mariaa
kipepeo pepea mwambie asioe mwengne tena
mwambie mi ndo nampenda x4 .
Bruce melody)
subiri Bado nakupenda ila naona na Mimi unanipenda
na sikutarajia kukuvunja moyo bby nisamehe
ila si unajua masaibu yangu mama hutowezana
na kukosa kwangu mama inauma sana kukuacha weee
na Sina budi beibi turususanya datemera
sijinaremere bugusiginyuma bby I just wanna ………
ni kweli tulipendana hatukuwahi zozana mapenzi kwa sana
na Leo naowana ila yote mipango ya Mungu nakuombea mema
kubali safari ya mapenzi boo imefika mwshoo
(repeat chorus)
Leave a Comment