Entertainment

Kusaga awapatanisha Harmonize na Baba Levo

Kusaga awapatanisha Harmonize na Baba Levo -Baada ya ugomvi uliokuwepo kati ya Harmonize na Baba levo na kesi kupelekwa polisi, leo wamepatanisha na mmiliki wa Clouds Media, Joseph Kusaga.

Harmonize amepost kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika “AMANI LAZIMA IZINGATIWE ✌️❤️🇹🇿

RELATED: DOWNLOAD NYIMBO ZA HARMONIZE

Pia Baba levo ameandika kwenye mtandao wake wa Instagram “NENO SAMAHANI LINA MAANA KUBWA SANA KWENYE MAISHA YANGU …!!!
KWA BUSARA ZA MZEE @josephkusaga 🙏🙏
NIMEKUSAMEHE MDOGO WANGU HARMONIZE

Leave a Comment