Audio

Pakua Mixes Tano Kali Za RJ The DJ Ndani Ya Mdundo

Pakua Mixes Tano Kali Za RJ The DJ Ndani Ya Mdundo -Romeo George, ambaye anajulikana kitaalamu kama “RJ The DJ”, amekuwa akiwaburudisha watu kwa takriban miongo miwili.

Huku tukishabikia kazi zake nzuri na uwezo wake wa kisanii. Rj The Dj ni mwansanturi anayekubalika sana Afrika kama Dj wa Diamond Platnumz pia anajulikana kwa kazi zake za uigizaji.

Hivi sisi tunakupea fursa ya kupakua baadhi ya DJ Mixes alizotengeza ndani ya Mdundo.

Afro – Bongo Fire Mix _ Marioo,Rema- https://mdundo.com/song/2504476


Furuhia mziki mzuri unaowaleta pamoja wasanii tajika barani Afrika. Hawa ni wakubwa bongo fleva na hata wale wa Afrobeat wakiwa ni Marioo na Rema Miongoni mwa wengine.Ipakue hapa!

Bongo Explosion Mix _Jay Melody, Nandy-https://mdundo.com/song/2504484


Hii ni mix inayoonyesha ubabe wa Bongo fleva huku Jay Melody na Nandy wakihusisha humu.Ipakue hapa upate kufurahia Bongo Explosion ndani ya Mdundo.

Afro-Bongo Best Hits Mix 2023-https://mdundo.com/song/2487801


Karibu uskize mix hii kali itakayo kupea fursa ya kufurahia mziki mzuri wa Afrika kwa urahisi. Ipakue Afrobongo Best hits hapa ndani ya Mdundo.

Afro Bongo Reloaded ft. Rema, Alikiba, Diamond, nandy 2023 Mix-https://mdundo.com/song/2489287


Afrobongo reload inawaleta pamoja wasanii wakubwa Afrika kama vile Rema, Alikiba , Nandy na wengineo. Pakua hapa.

Amapiano Bomba Mix Ya RJ The DJ- https://mdundo.com/song/2504526


Mziki wa Amapiano kwa sasa unandelea kikita mizizi Afrika mashariki. Katika mix hii tunaona ukubwa wa mziki huu

Subscribe: https://mdundo.ws/edu_tz