Pakua Afro-Bongo Reloaded inayowashirikisha Nandy na Rema
Ni Ijumaa nyingine ya kujiachia kwa mziki mzuri tu!🔥🔥🔥
Afro Bongo Reloaded 2023 Mix ni moto wa kuotea mbali. Humu wameshirikishwa mabingwa muziki Afrika wakiwemo Nandy wa Tanzania na Rema wa Nigeria.
Download #AfroBongoReloaded: https://mdundo.com/song/2489287
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog