LEARNING

Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku

Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku

Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku -Kubeti na kushinda kila siku nindoto ya kila mchezaji wa michezo ya kubashiri lakini ukweli nikuwa huwezi Kushinda kila siku Ila unaweza Kushinda Mara nyingi nakupata faida

Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku

Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku
Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku

Kwanza, ngoja tupitie dondoo zinazojulikana zaidi ambazo zitakusaidia kupunguza idadi ya makosa unayoyafanya na kuzidi kujiongezea nafasi ya kushinda kila siku;

  • Chagua michezo unayotaka kuicheza – kuliko kupoteza nguvu zako na ubunifu kuhangaika kucheza michezo mingi ni bora uchague mchezo mmoja ambao unauelewa vizuri zaidi na ubaki nao huohuo. Hii itakusaidia kuelewa mambo mbalimbali yanayohusiana na mchezo husika ili uweze kuweka mikeka ya ushindi. Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku

RELATED: Jinsi ya kucheza mchongo pesa

  • Dhibiti hisia zako – kubeti kwa mihemko ndiyo njia ya kwanza ya kuanza kupoteza pesa zako, na hata kupoteza mtaji wako wote wa kubeti, hata uwe ni shabiki wa timu husika kwa miaka mingapi lazima utulize akili kwanza kabla ya kufanya maamuzi ya kuweka mkeka, vilevile usiruhusu furaha au uchungu wa kupoteza mkeka mmoja ikunyime hamasa ya kucheza na kushinda mkeka mwingine.

  • Usisahau kupumzika – ubora wa mkeka wako ni muhimu zaidi ya wingi wa mkeka wako, hivyo kama umechoka sana baada ya kuchambua mkeka uliopita kwa muda mrefu au una uchungu wa kupoteza mkeka mwingine ni bora uchukue muda kupumzika na kujipanga upya.

  • Jifunze kutokana na makosa yako yaliyopita – kama wewe ni mgeni kwenye michezo ya bahati nasibu, basi lazima tu utafanya makosa ambayo utakuja kuyajutia baadaye, hivyo basi hauna haja ya kujilaumu sana pindi unapokosea kwani ni nafasi yako ya kuweza kujifunza.

  • Fanya utafiti wa kutosha – moja ya dondoo muhimu zaidi za kubeti  ni kufanya upembuzi na uchambuzi yakinifu kwenye kusuka na kupangilia mikeka yako, kufanya utafiti kuhusu takwimu za timu na wachezaji husika vitakusaidia kupata uelewa mkubwa zaidi wa kufanya maamuzi kamilifu.

  • Chunguza mwenendo wa timu nivyema kuchunguza mwenendo wa timu katika mechi za karibuni matokeo yalikuwaje? Je zinapokutana timu hizo matokeo yanakuwaje? He kikosi chatimu hiyo kwa siku husika kipoje? Uwiano wa magoli ya kufungunga na kufungwa?

  • Tuliza akili pale unapopoteza. Acha kuchanganyikiwa na kutaka kurudisha kiasi ulichopoteza katika mkeka uliotangulia kufanya hivyo kutakufanya upoteze sana.

  • Angalia utabiri katika tovuti za kubashiri matokeo mtandaoni. Japo sio za kuaminika Sana lakini zinaweza kukupa mwanga na wewe mwenyewe kufanya maamuzi mkeka wako uweje.

  • Beti kwenye tovuti rahisi Kushinda na zenye bonasi. Ninaposema tovuti rahisi Kushinda ni zile app za kubati ambazo huwa na options nyingi au machaguo mengi ambayo ni rahisi kutokea katika mchezo  kwamfano machaguo ya idadi ya Kona, Mpira kushikwa na golikipa, kadi nyekundu, n.k