Afya

Fanya uume wako uwe na nguvu ya kurudiarudia tendo la ndoa

Fanya uume wako uwe na nguvu ya kurudiarudia tendo la ndoa

Natumaini mu wazima Wa afya tele mkiendelea na harakati za kulijenga Taifa letu kwa kasi kubwa !! Mungu akapate kubariki kazi ya mikono yako na Taifa letu.

Twende pamoja sasa !!!

Wanaume tumekua katika wakati mgumu sana ile jioni tunapotoka katika mihangaiko yetu na wakati mgumu sana pale unapokua Muda Wa kulala umefika na Wakati mgumu zaidi pale unapotambua mwenzi wako anakuitaji kimwili !! Hapa ndipo Hofu ile inapoanzia hofu inayokupa maswali Mengi, maswali yanayokuumiza kichwa na kujiona kama mwanamme Mnyonge sana mbele ya mwanamke wako !!!

Sijui Leo nitafanya Mara ngapi?? Je nitampa kamoja tu??? Je nitamwaga ndani ya dakika mbili kama Jana ??? Je Leo pia Uume utakua lege lege?

Je, nitamfanya afike kileleni (Hili ni somo lingine. Naufahamu asilimia 90 ya wanawake hawajawahi kufikishwa kileleni au kukojoleshwa, wengi wao huwa wanaigiza kukojoleshwa) Mmmmhhhhh mambo yanazidi kua mambo. 

Tuendelee zetu wakuu !!! Mdogo mdogo kama  lkn tutafika 

Hayo yote ni maswali machache ambayo hutufanya kuona chumba ni kidogo na usiku ni mrefu!!! Usilie Leo nakupa mavitu ya KITAALAM zaidi na Utafurahi na atakufurahia na utanipa majibu mazuri zaidi. Piga makofi basi. 

SASA naomba Muscles, Brain, Nerves zako zote uwe makini ktk haya nitakayoyasema!!!, Utaenda kuyatibu matatizo yako yote ya tendo la ndoa, No matter una kibamia au mpini!!!!

Haya ndiyo mambo yakufanya Ambayo hutotumia garama na nirahisi kufanya na hayatumii muda na yanasaidia 98% tuseme tu 100% au sio wakuuuu ,!!! Kuanzia Leo naamini utaimarisha misuli ya Uume wako ,,utaufanya kua na nguvu ,, utaufanya usimama haraka baada ya kumwaga ,,kwaiyo mtafurahishana sana kwakua hamu utakua pale pale na Uume utakua wenye nguvu !!Naam tuendelee sasa .

1) MAZOEZI YA KEGELI .
KEGELI ni nini ??? Kegeli ni msuli Wa chini unaopatikana katikati ya Anus na scrotum( mahali ambapo kifuko cha kubebea korodan kinaanzia ). Mkuu Bado tu hujapapata ???? Usijali twende pamoja !!! Je Umewahi kua unakojoa alafu ukasimamisha mkojo gafla usitoke kisha ukaendelea kukojoa ???? Kama bado Leo wakati unakojoa ,, jaribu kusimamisha mkojo usitoke kisha endelea kukojoa ,,simamisha tena ,,kisha kojoa ,,alafu simamisha tena ,,kisha acha utoke ,, ,,Msuli uliokusaidia usimamishe mkojo japokua kibofu bado kinamkojo ndio unaitwa KEGELI !! hapa naamini wakuu tunaenda pamoja sasa !!!.’

napicha iyo wadau !!!!

Sasa baada ya kujua Msuli Wa kegeli Fanya ivi ,,,Hakikisha upo mahali ambayo haiyofanya misuli mingine yamwili kufanya kazi,, datz umekaa mahali popote hata ofsin au garin ,,popote yaan ..eeeeeehhhhhhh

Kisha anza kufanya km UNASIMAMISHA MKOJO usitoke ( hapa unajua hukojoi ) yaan una ashumu km unakojoa lkn hukojoi ,,lengo nikuanza kuuvuta huu msuli,, Simamisha kwa sekunde anza 2-3-4-5—–9 unaposimamisha unahold on kwa izo sekunde kisha unaachia unahold on unaachia ,, Fanya ivo kwa Mitupio thelathini kila unapopata muda ( usipungue mitupio 30 Mara tatu kwa siku ,,yaan uanzia angalau mitupio 90 kwa siku )
Faida ….. 

-Kegeli hukomaza misuli ya Uume .
-Kegeli hukomaza mishipa ya dam uumeni .
-Nirahisi ,,sio garama ni time saver !!

2/ BAKIA KUA MWENYE MAJI MWILINI .

wanaume wenzangu Kua wakavu mwilin umekua sababu kubwa ya uume kua legelege kusimama .

Naomba mjue kua ili Uume usimame vzuri nilazima kuwepo na Flow nzuri ya Damu mwilin nakiasi kingi cha damu mwilin….asilimia 70 ya damu nimaji …. Ivyo unavyokua unakunywa maji unaonheza kiwango cha damu ,,unaongeza na flow yadam ,, kwaiyo inasaidia sana wakati watendo dam kuflow nyingi uumeni nahuo ndo mwanzo wauume kusimama haraka na ulojaa na wenye nguvu !!!!

Kuanzia Leo hakikisha unakua MTU wakunywa maji kama Rey  kwajili ya Uume wako !!!!! Mavitu hayoooo !!!.

3/ MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI .

Hivi nivitu ambavyo wengi tunavidharau ,,kuvitumia mpaka tuwe tunauumwa ???? Khaaaahh brother haupo serious na mwanamke wako !!!

MATUNDA na MBOGA ,, ni kitu vyenye utajiri mkubwa Wa Vitamin,, Madini ,, Phytochemicals,, Antioxidants … Vitu hivi kwa pamoja Husaidia Nerves kufanya kazi vzur ,, husaidia misuli kufanya kazi vzuri na mwisho vinatumika kutengeneza Damu …

N.b ,, the low amount of blood the low the kudidisha Uume wako 

4)-MAZOEZI YA VIUNGO .
Aisee hapa sizungumzi kunyanyua mivyuma mizito utazan unajiandaa kupambana na ile mijitu mikubwa kwwnye muvi ya ” Jack and the Giants Slayer “” .. Kufanya mazoezi yaviungo husasani yanayohusiana na upumuaji ( pumzi ) ni vzuri sana !!! Kwan Pumzi nimuhimu mno ktk suala ndoa. Na pia mazoezi yaaina hii husaidia misuli kuunguza nishati kwa kasi nzuri .

Fanya mazoezi bro  , otherwise Juma mcheza mpira atakupigia mwanamke !!.

5/BAKIA KUA MTU POSTIVE .
Wakuu hakikisha huwi MTU Wa mawazo na HUNA mawazo wakati upo mapajani mwa mwanamke  ,,Stress kills sex ,, nanaomba utambue Sex start in Mind ,, kwaiyo usiwe namawazo ,, Jiamin,, jiongoze ,, jione we ni great lover mzuri ,,, nakuhakikishia Mwili wako lazima utafuata mawazo yako tu kaka !!! Na mtoto utampa huduma matata KIASI kwamba kila akiwaza sex ,,anakuwazia kufanya sex Naww tuuu.

6// TABIA YA KIAFYA .
Wakuu kwa ubora mzuri kitandan nivema ukaachana na tabia ya uvutaji sigara ,, pombe ,, nakadhalika ,, kwa kua hivi nivitu vinavyoathiri Reproductive system moja kwa moja !!!!.

Namwisho ngoja niwape kitibabu kidogo.

KITUNGUUUUUUU KITUNGUUUUU KITUNGUUUUUUUU.

Wakuuu km suala LA kudidisha nitatizo ….Uume legelege ,, HUNA ham ya kurudia tendo ,,ukiwa nayo Uume unasimama km mlenda ,, Baada ya kufanya mambo hayo juu niloyataja ,,

Nunua vitunguu na Asali ,,weka kwako …. Chukua vitunguu viwili ,to a maganda ,, kisha toboa kitundu kidogo juu ya kichwa cha kitunguu na chini kwenye eneo LA mizizi ..viweke kwenye kibakuli ,,, mwagia asali katika kitundu cha kichwan mwa kitunguu hakikisha kila kitunguu kimewekwa asali ,,, kisha vifunike …..USIKU BAADA YA KULA CHAKULA CHA USIKU CHUKUA KIMOJA TAFUNA ,,ENDELEA NA RATIBA NA MWENZI WAKO ,,ASUBUHU TAFUNA KILICHOBAKI ,,NA ANDAA VYAUSIKU UNAOFUATA ,,FANYA IVYO KWA MWEZI NAHATA UKIONA KIKA SIKU NISAWA TU MAANA VITUNGUU VINATIBU NAMAGONJWA MENGI NAHAVINA ATHARI ….KWA KUFANYA IVYO UTAKUA UMEEPUKANA NA MATATIZO YOTE YATENDO LANDOA ..UWE UMEZALIWA HUSIMAMISHI !!!