Share this post:

Pakua Mix Kali inayomshirikisha Gwiji wa Bongo Mavokali Ndani Ya Mdundo

Audio
BekaBoy July 25, 2023 0 Comments

Pakua Mix Kali inayomshirikisha Gwiji wa Bongo Mavokali Ndani Ya Mdundo

Jiandae kucheza, kufurahia na kuunda kumbukumbu za muziki zisizosahaulika Jumanne ya leo.

Pakua mix hii yetu ya leo ambayo ni ‘Muziki Bomba Mix’ inayomshirikisha msanii Mavokali miongoni mwa wasanii wengine hapa: https://mdundo.com/song/2470322

Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

GetNewDJMixEveryday #MdundoMixes #Bongo #Tanzania #MdundoTZ
0:00
0:00