Audio

Onesha Kipaji Chako Kupitia TikTok Ujishindie Infinix NOTE 30

Onesha Kipaji Chako Kupitia TikTok Ujishindie Infinix NOTE 30

Je, uko tayari kujishindia simu mahiri mpya kabisa ya Infinix Note 30? Infinix
inafuraha kutangaza shindano la kusisimua, #TakeChargeWithNote30, ambapo
unaweza kuonyesha kipaji chako, kuibua ubunifu wako na kusimamia safari yako.

Iwe wewe ni mwanamitindo, mpenda michezo ya sports, games, au mpenzi wa DIY
(do it yourself), shindano hili lina kitu kwa kila mtu. Jitayarishe kucheza, kuunda, na
kushiriki katika shindano kuu la TikTok ambalo litakuacha ukiwa na motisha na
msukumo. Hebu tuzame kwenye maelezo na tujifunze jinsi unavyoweza kujiunga na
shindano hili la ajabu!

Hivi ndivyo jinsi ya kushiriki:


 -Scan QR code kupitia simu yako ya mkononi moja kwa moja itakupeleka
TikTok


 -Record Video ukiwa unaonyeshe kipaji chako (modelling, kucheza game,
kucheza mpira, kuimba, kudance, DIY, n.k.)


 -Hakikisha kupiga video yako katika mazingira yenye mwanga mzuri


 -Tuma igizo lako likiwa na ujumbe #TakeChargeWithNote30 @infinixTanzania
kwenye nukuu yako.

Iwapo umesahau, Infinix NOTE 30 imeundwa kwa teknolojia ya kisasa ya
FastCharge ambayo inasaidia njia nyingi za kuchaji, ikiwa ni pamoja na kuchaji kwa
waya, kuchaji kwa haraka bila waya, kuchaji nyuma kwa kugusanisha na simu
nyengine. Kwa hiyo, unasubiri nini? Nyakua simu yako, onyesha kipaji chako na
utume ingizo lako la #TakeChargeWithNote30 leo!


Piga 0744606222 kwa maelekezo zaidi.