Audio

Download Ramadan Mix Mpya Inayomshirikisha Mzee Yussuf

Download Ramadan Mix Mpya Inayomshirikisha Mzee Yussuf

Mwezi huu mtukufu uendelee kuleta amani duniani kote.

Tunapoendelea na msimu huu wa Ramadan, tunakuletea MIX mpya ambayo inamshirikisha mwimbaji Mzee Yussuf pamoja a waimbaji wengine wa Qaswida 🕌

Download hapa: https://mdundo.com/song/2470401

Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

RamadanKareem #Ramadan2023 #MzeeYussuf