Results

Matokeo ya Kidato cha Pili 2025/2026 (FTNA Results)

Matokeo ya Kidato cha Pili 20252026 (FTNA Results)

Matokeo ya Kidato cha Pili 2025/2026 (FTNA Results)

Matokeo ya Kidato cha Pili (Form Two National Assessment – FTNA) kwa mwaka wa masomo 2025/2026 ni miongoni mwa matokeo yanayosubiriwa kwa hamu kubwa na wanafunzi, wazazi pamoja na walimu nchini Tanzania. Matokeo haya hutolewa rasmi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) mara nyingi kuanzia mwishoni mwa Desemba hadi mwanzoni mwa Januari.

Lengo kuu la matokeo ya FTNA ni kupima kiwango cha uelewa wa wanafunzi kabla ya kuanza safari ya Kidato cha Tatu, na pia kuwasaidia kupanga mwelekeo wa masomo yao ya baadaye.

Kupitia ukurasa huu wa matokeoyanectatz.com, utapata mwongozo kamili, link sahihi, na njia rahisi za kuangalia matokeo yako bila usumbufu.

TAZAMA HAPA MATOKEO

Njia Bora za Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili 2025/2026

Zifuatazo ni njia tatu (3) rasmi unazoweza kutumia kupata matokeo yako ya FTNA:

1. Kuangalia Kupitia Tovuti Rasmi ya NECTA

Hii ndiyo njia inayopendekezwa zaidi kwa uhakika wa taarifa:

  1. Tembelea tovuti ya NECTA: www.necta.go.tz
  2. Bonyeza sehemu ya “Results”
  3. Chagua FTNA – Form Two National Assessment
  4. Chagua mwaka 2025
  5. Tafuta mkoa, halmashauri, kisha shule yako
  6. Orodha ya wanafunzi na matokeo yao itaonekana

2. Kutumia Link za Moja kwa Moja (Direct Result Links)

Wakati mwingine tovuti ya NECTA inaweza kuwa na msongamano mkubwa wa watumiaji. Ili kuepuka hilo, unaweza kutumia link mbadala:

  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2025 – Link ya Moja kwa Moja
  • NECTA Results Portal – FTNA

(Link hizi huwekwa pindi matokeo yanapotangazwa rasmi)

3. Kuangalia Matokeo Kupitia SMS (Bila Internet)

Kwa wale wasio na intaneti, NECTA hutoa huduma ya SMS:

  1. Fungua sehemu ya meseji kwenye simu yako
  2. Andika ujumbe kwa muundo huu:
    NECTA NAMBAYAKOYA MTIHANI MWAKA FTNA
  3. Tuma kwenda 15700

Mfano:
NECTA S0101-0001 2025 FTNA

Angalia Matokeo ya Kidato cha Pili kwa Mkoa

Chagua mkoa wako hapa chini ili kufikia orodha ya shule kwa haraka:

MkoaKiungo
Matokeo ya Form Two mkoa wa ArushaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa Dar es SalaamAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa DodomaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa GeitaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa IringaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa KageraAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa KataviAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa KigomaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa KilimanjaroAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa LindiAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa ManyaraAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa MaraAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa MbeyaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa MorogoroAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa MtwaraAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa MwanzaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa NjombeAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa PwaniAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa RukwaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa RuvumaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa ShinyangaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa SimiyuAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa SingidaAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa SongweAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa TaboraAngalia Hapa
Matokeo ya Form Two mkoa wa TangaAngalia Hapa

Mfumo wa Upangaji wa Madaraja (NECTA FTNA Grading System)

NECTA hutumia mfumo ufuatao wa madaraja kwa Kidato cha Pili:

AlamaDarajaMaelezo
75 – 100ABora Sana
65 – 74BNzuri Sana
45 – 64CNzuri
30 – 44DInaridhisha
0 – 29FImefeli

Hatua za Kuchukua Baada ya Kupata Matokeo

Kwa Waliopata Ufaulu

Wanafunzi waliopata A, B, C au D wanaruhusiwa kuendelea na Kidato cha Tatu (Form Three) bila vikwazo.

Kwa Waliopata F (Fail)

Mwanafunzi aliyefeli anaweza:

  • Kurudia Kidato cha Pili (Repeater), au
  • Kufanya mtihani tena kama mtahiniwa wa kujitegemea (Private Candidate) kulingana na kanuni za shule au NECTA.

Mipango ya Masomo

Huu ni wakati mzuri wa kuanza kujiandaa kuchagua michepuo ya Sayansi, Biashara au Sanaa kulingana na matokeo yako.

Tunawatakia kila la heri wanafunzi wote waliokuwa wakisubiri Matokeo ya Kidato cha Pili 2025/2026. Endelea kufuatilia matokeoyanectatz.com kwa taarifa sahihi, za haraka, na link zote muhimu mara tu NECTA itakapotangaza matokeo rasmi.

Je, unapata changamoto kuona matokeo yako?
Tuachie jina la shule na namba ya mtihani kwenye maoni, na timu yetu itakusaidia mara moja.

Leave a Comment