AUDIO: P Mawenge – What’s My Name | Download Mp3
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, P Mawenge, amerudi tena kwenye vichwa vya habari kwa kuachia rasmi wimbo mpya unaokwenda kwa jina la “What’s My Name”, wimbo huu ukiwa sehemu ya albamu yake mpya kabisa inayoitwa TAMBO ZA VIWANGO.
RELATED: P Mawenge – PRAY FOR KARIAKOO
“What’s My Name” ni kazi ya kisanaa inayobeba ujumbe mzito wa kujitambulisha, kujithibitisha na kuonyesha uwezo mkubwa wa ki-rap alioubeba P Mawenge kwenye muziki wa Bongo Hip Hop. Wimbo huu una vionjo vya beat kali, mistari mikali yenye mafumbo ya kifikra, na flow ya kipekee ambayo imekuwa alama ya utambulisho wake.
Listen to “P Mawenge – What’s My Name” below;
Leave a Comment