AUDIO: Barbie Mia Ft Country Wizzy – Beautiful Girl | Download Mp3
Barbie Mia, msanii anayechipukia kwa kasi kwenye anga la muziki wa Bongo Fleva, amerudi tena kwa kishindo kupitia ujio wake mpya “Beautiful Girl” akimshirikisha rapa maarufu Country Wizzy. Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo kali ndani ya EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Life Of Barbie, ambayo imetoka rasmi hivi karibuni.
RELATED: Kiri Records Ft Young Lunya, Nyandu Tozzy, Wiztyson26, Mkorinto & Barbiemia – Session One
EP ya Life Of Barbie inaonesha ukuaji na ubunifu wa Barbie Mia kama msanii anayepania kuacha alama katika muziki wa Afrika Mashariki. Kupitia kazi hii, Barbie Mia anazidi kuthibitisha kuwa yeye ni miongoni mwa wanamuziki wa kike wanaokuja kwa kasi, huku akishirikiana na majina makubwa kama Country Wizzy kuthibitisha uwezo wake.
Listen to “Barbie Mia Ft Country Wizzy – Beautiful Girl” below;
Leave a Comment