Tanzanian Bongo Fleva star Marioo has just dropped the official lyrics for his romantic and emotionally packed song “Tete”, and fans can’t get enough of it! Whether you’re vibing in your car, chilling at home, or on a romantic walk, “Tete” delivers smooth vocals, heartfelt lyrics, and catchy melodies that are perfect to sing along with.
Download Marioo – Tete MP3 here
Marioo – Tete Lyrics
Intro
Aiyoyoyooo…..Kutoka halooo
Aah Babe nichumu hadharani mwaa
Me nataka waumie…
Aah Babe nikiss hadharani mwaah
Me nataka waumie..
Verse 1
Dooo salale, Ulikuwa wapi kipindi nalizwa
Ulikuwa wapi kipindi naumizwaaa
Babe ulikuwa wapi kipindi nanyanyaswa
Chorus
Mimi vile Nakupenda…,
Akitoka mama anafuata mpenzi ambaye ndo wewe, You’re ma happiness
Wakitoka wazazi ndo anafuata mpenzi ambaye ndo wewe, You’re ma happiness
aah Mimi kwako TETE (tetete tetete)
Na nidekeze kama mtoto (tetete tetete)
Ukitaka nibebe mgongoni (tetete tetete)
Nifunze kutembea (tetete tetetete)
Aah TETETE…,
Instrumental…
Verse 2
Aah Ukichanganya asali, fanta, banana ndo ulivyomtamu sweetie sweetie
Sexy sexy body ya Fantana, lips Ina test ya pipi pipi
Ooooh Babe nakupenda, nakukunda,
Sogea nikupambe Sogea nikubusu
Nndekutanda, mon~ferlehe Cheterr Teamo Babe weee
Chorus (Repeat)
Akitoka mama anafuata mpenzi ambaye ndo wewe, You’re ma happiness
Wakitoka wazazi anafuata mpenzi ambaye ndo wewe, You’re ma happiness
aah Mimi kwako TETE (tetete tetete tetete)
Nidekeze kama mtoto (tetete tetete tetete)
Ukitaka nibebe mgongoni (tetete tetete tetete)
Unifunze kutembea (tetete tetete tetetete)
Aiiii aaah TETETETEE
Ooohaaa……
Download Marioo – Tete MP3
Want to listen offline and vibe anytime, anywhere?
Click here to download Marioo – Tete MP3
Why “Tete” by Marioo Is a Must-Hear
- Deep love lyrics you can relate to
- Signature Bongo Fleva rhythm and vibe
- Perfect for playlists: Romantic Vibes, Chilling With Bae, and Afro Vibe Sessions
- Marioo’s soulful voice and smooth Swahili expressions
Stay tuned to bekaboy.com for more lyrics, song reviews, and exclusive African music updates. Share the love and let others vibe with Marioo’s “Tete” too!
Leave a Comment