Entertainment

Washindi wa Tuzo za Trace Awards Zanzibar 2025

Washindi wa Tuzo za Trace Awards Zanzibar 2025

Washindi wa Tuzo za Trace Awards Zanzibar 2025. Tuzo za kifahari za Trace Awards 2024 zilifanyika jana huko Zanzibar, zikiheshimu wasanii bora kutoka Afrika na diaspora. Tanzania imewakilishwa vyema na wasanii wake wawili ambao wameondoka na tuzo kubwa.

Washindi Kutoka Tanzania

  • Diamond Platnumz aliibuka mshindi wa tuzo ya Best Global African Artist.
  • Nandy alitwaa tuzo ya Best Tanzanian Artist, kuthibitisha nafasi yake kama mmoja wa wasanii wakike bora nchini.

Washindi wa Vipengele Mbalimbali

Wimbo Bora wa Mwaka (Song of the Year)

  • Tshwala Bam – Titom & Yuppe (Afrika Kusini)
  • Jump – Tyla (Afrika Kusini)
  • Mnike – Tyler ICU (Afrika Kusini)
  • Coup du Marteau – Tamsir x Team Paiya (Ivory Coast)
  • Active – Asake & Travis Scott (Nigeria)
  • Love Me Jeje – Tems (Nigeria)
  • Higher – Burna Boy (Nigeria)
  • Benin Boys – Rema & Shallipopi (Nigeria)
  • Komasawa – Diamond Platnumz (Tanzania)

Albamu Bora ya Mwaka (Album of the Year)

  • Heis – Rema (Nigeria)
  • I Told Them – Burna Boy (Nigeria)
  • Lungu Boy – Asake (Nigeria)
  • Vibration Universelle – Josey (Ivory Coast)
  • Fountain Baby – Amaarae (Ghana)
  • True To Self – King Promise (Ghana)
  • 5th Dimension – Stonebwoy (Ghana)
  • Stamina – Toofan (Togo)

Ushirikiano Bora (Best Collaboration)

  • Coup du Marteau – Tamsir & Team Paiya (Ivory Coast)
  • Tshwala Bam Remix – Titom & Yuppe & Burna Boy (Afrika Kusini/Nigeria)
  • Nu Ka Sta Para – Neyna & MC Acondize (Cape Verde)
  • Credit Alert – Kocee ft. Patoranking (Cameroon/Nigeria)
  • MMS – Asake & Wizkid (Nigeria)
  • Benin Boys – Rema & Shallipopi (Nigeria)
  • Woto Woto Seasoning – Odumodublvck & Black Sherif (Ghana)

Video Bora ya Muziki (Best Music Video)

  • DND – Rema (Nigeria) (Meji Alabi)
  • Twe Twe – Kizz Daniel & Davido (Nigeria) (TG Omori)
  • Nani Remix – Zuchu feat Innoss’ B (Tanzania/DRC) (Director Folex)
  • Jump – Tyla (Afrika Kusini) (Nabil Elderkin)
  • Commas – Ayra Starr (Nigeria) (Kmane)
  • C Pas Normal – Toofan (Togo) (Seoute Emmanuel)
  • Sete – Innoss’ B (DRC) (Ach’B)
  • MMS – Asake & Wizkid (Nigeria) (Edgar Esteves)

Related: Trace Awards 2025 Zanzibar

Msanii Bora wa Hip Hop (Best Hip Hop Artist)

  • Young Lunya (Tanzania)
  • Didi B (Ivory Coast)
  • Nasty C (Afrika Kusini)
  • Odumodublvck (Nigeria)
  • Suspect 95 (Ivory Coast)
  • Sarkodie (Ghana)
  • Maglera Doe Boy (Afrika Kusini)

Msanii Bora wa Kiume (Best Male Artist)

  • Diamond Platnumz (Tanzania)
  • Rema (Nigeria)
  • Dlala Thukzin (Afrika Kusini)
  • Fally Ipupa (DRC)
  • Asake (Nigeria)
  • Burna Boy (Nigeria)
  • Wizkid (Nigeria)
  • Stonebwoy (Ghana)

Msanii Bora wa Kike (Best Female Artist)

  • Nandy (Tanzania)
  • Tyla (Afrika Kusini)
  • Makhadzi (Afrika Kusini)
  • Chelsea Dinorath (Angola)
  • Josey (Ivory Coast)
  • Ayra Starr (Nigeria)
  • Tems (Nigeria)
  • Yemi Alade (Nigeria)

Msanii Bora wa Afrika Mashariki (Best Artist Eastern Africa)

  • Diamond Platnumz (Tanzania)
  • Harmonize (Tanzania)
  • Marioo (Tanzania)
  • Zuchu (Tanzania)
  • Nandy (Tanzania)
  • Bien (Kenya)
  • Joshua Baraka (Uganda)
  • Rophnan (Ethiopia)

Msanii Bora wa Tanzania (Best Tanzanian Artist)

  • Nandy
  • Mbosso (Zanzibar)
  • Diamond Platnumz
  • Zuchu (Zanzibar)
  • Marioo
  • Alikiba
  • Jux
  • Harmonize

Tuzo za Trace Awards 2024 zilitoa jukwaa la kutambua vipaji vya wasanii wa Kiafrika, huku Tanzania ikiwakilishwa vyema na Diamond Platnumz na Nandy. Ushindani ulikuwa mkali katika kila kipengele, lakini wasanii hawa walionyesha umahiri wao katika muziki wa Afrika.

Kwa habari zaidi za burudani, endelea kufuatilia Bekaboy!

Leave a Comment