Msanii maarufu wa Hip Hop nchini Tanzania, Billnass, ameanza mwaka 2025 kwa kuachia wimbo mmoja tu hadi sasa, akiungana na staa wa Bongo Fleva Mbosso katika wimbo unaoitwa “Boda”. Kwa mashabiki wa Billnass wanaosubiri nyimbo zake mpya mwaka huu, hii ndiyo nyimbo yake ya kwanza kwa 2025.
Billnass – Boda Ft. Mbosso (Nyimbo Mpya 2025)
Wimbo huu mpya “Boda”, ambao umemshirikisha Mbosso, unaleta ladha tamu ya Hip Hop na Bongo Fleva, huku ukichukua nafasi kubwa kwenye chati za muziki. Kwa wale wanaotaka kuusikiliza na kuudownload, unaweza kupakua moja kwa moja kupitia link ifuatayo:
Download Billnass Ft. Mbosso – Boda
Orodha ya Nyimbo Mpya za Billnass 2025
Kwa sasa, Billnass ameachia wimbo mmoja tu mwaka huu, lakini tunatarajia ataachia nyimbo nyingine kadri mwaka unavyoendelea. Tutakuwa tunasasisha makala hii kila anapotoa nyimbo mpya ili kuhakikisha mashabiki wake wanapata taarifa kwa wakati.
Nyimbo Zote Mpya na za Zamani za Billnass
Kwa mashabiki wa Billnass wanaotaka kudownload nyimbo zake zote mpya na za zamani, unaweza kupakua kupitia link ifuatayo:
Download Nyimbo Zote za Billnass
Billnass anaendelea kuwa mmoja wa wasanii wanaoleta ushindani mkubwa kwenye muziki wa Hip Hop Tanzania. Kama wewe ni shabiki wa nyimbo zake, hakikisha unaendelea kutembelea ukurasa huu mara kwa mara kwa updates za nyimbo zake mpya 2025.
Leave a Comment