MUSIC AUDIO

Haufananishwi Na Kitu Kingine Lyrics

Haufananishwi Na Kitu Kingine Lyrics

Renowned gospel artist Boaz Danken has officially released the lyrics for his latest worship song, “Haufananishwi na Kitu Kingine.” This deeply moving song magnifies the greatness of God, emphasizing His unmatched power, mercy, and ability to perform wonders beyond human comprehension.

With its soul-stirring lyrics and uplifting melody, the song has quickly resonated with gospel music lovers.

Lyrics: “Haufananishwi na Kitu Kingine” – Boaz Danken

[Verse 1]

Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

(Rudia kutoka juu – Repeat from the top)

[Chorus]

Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa

(Rudia – Repeat)

Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

[Verse 2]

Si mwepesi wa hasira
Unaghairi mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Mungu mwenye wivu
Unatunza maagano
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

[Bridge]

Katikati ya gadhabu
Unakumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

[Outro]

Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa

(Rudia x4 – Repeat 4 times)

Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

Related: Boaz Danken Ft Eliya Mwantondo – Bwana Wewe Ni Mwema

A Worship Anthem for Every Believer

With its repetitive yet powerful lyrics, “Haufananishwi na Kitu Kingine” serves as a reminder of God’s sovereignty and faithfulness. Whether in times of joy or struggle, this song offers comfort and reassurance that there is none like God.

Fans of Boaz Danken can expect this song to be a church favorite, touching lives and strengthening faith across Tanzania and beyond.

Where to Listen

The song is available on various streaming platforms including here. Stay tuned for the official music video, which is expected to be released soon.

Follow BekaBoy for more gospel music updates!

Leave a Comment