Tanzanian songstress Zuchu has released the lyrics for her new hit song “Raha”, bringing fans an exciting and soulful experience. Known for her captivating voice and poetic songwriting, Zuchu delivers yet another masterpiece that resonates with love and passion.
If you love this song, enjoy the full lyrics below and sing along as you vibe to the music. You can also download “Raha” by Zuchu here.
Zuchu – Raha Lyrics
M-m-m-mh! Mh! Lala Lala Lala
M-m-m-mh! Mh! Lala Lala Lala
M-m-m-mh! Mh! Lala Lala Lala
M-m-m-mh! Mh!
Yani kwa sauti kasema Deeka Deeka
Na mimi najiachia, kanipa shuruti
La kumteka teka silaha kanigawia
Mbezi, Kimara hunipeleka peleka
Mpaka mwisho hashuki hashuki kiungo imara
Hunipenyeka penyeka
Kwa ya nguvu mashuti mashuti, oooh! Oh!
Kaniweka darasani kunifundisha vizuri
Mengi hayajulikani yataka kuyakariri
Kanichorea ramani kopa lenye nyingi siri
Jekundu nje na ndani rangi yake zingifuri
Chorus
Raha! Kupendwa raha
Mmmhh! Kupendwa raha
Raha jamani raha, naona raha
Raha (Raha) kupendwa raha
Ooh! Kupendwa raha, raha jamani raha
Verse 2
Eti niende msituni
Zaraninge na matipwili nikamroge
Abadan (Abadaan) penzi nichanjie mizaituni
Kwa vilinge na kuzikiri linoge
Aah! Abadan! Aah! Abadan! M-m-m-mhh!
Vineno vya kisirani, kafumwa na mwafulani
Mweupe mara kijani, inawahusu nini?
Vipimo viso mizani, kutwa kwenu midomoni
Tumewakaa kichwani, mtumezee kwinini
Ndege asili ya buga, kufugwa hawezekani
Mithili ya kivuruga, kaumbiwa kutamani
Atenda tafuta boga, japo tama libandani
Ende tezi sina woga, atarejea ngamani
Chorus
Raha! Kupendwa raha
Mmmhh! Kupendwa raha
Raha jamani raha, naona raha
Raha (Raha) kupendwa raha
Ooh! Kupendwa raha, raha jamani raha
Oooh! Oh! O-o-o oh! Oh!
Oooh! Oh! O-o-o oh! Oh!
Zuchu continues to shine in the Bongo Flava industry, and “Raha” is a testament to her talent and consistency. Whether you’re a fan of love songs or just love vibing to good music, this track is a must-listen!
📥 Download “Raha” by Zuchu now and enjoy the smooth melodies!
Leave a Comment