Diamond Platnumz and Zuchu, two of Tanzania’s finest artists, have once again delivered a masterpiece with their song “Mtasubiri.” This captivating track not only highlights their vocal chemistry but also conveys a heartfelt message about love, commitment, and the struggles of staying together despite external pressures.
The lyrics, now officially released, provide fans with a deeper connection to the song’s emotional core. Here’s the full lyrics arrangement to help you sing along while enjoying this stunning collaboration:
Mtasubiri Lyrics
Verse 1
Eeh nini sasa
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Oh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Oh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Pre-Chorus
Eti unanipenda mi (mmh)
Unanitaka pia (mmh)
Unaniamini (mmh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmh)
Unanitaka pia (mmh)
Unaniamini (mmh)
Na umeniridhia
Chorus
Mnaosubiri tuachane
Mtasubiri sana, mtasubi (oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubi (wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana, mtasubi (vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana, mtasubi
Verse 2
Oh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
Oh baby vya chapuchapu vitanifuja
Oh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Oh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Pre-Chorus
Eti unanipenda mi (mmh)
Unanitaka pia (mmh)
Unaniamini (mmh)
Nakuniridhia (mmh)
Unanipenda mimi (mmh)
Unanitaka pia (mmh)
Unaniamini (mmh)
Na umeniridhia
Chorus
Munasubiri tuachane
Mtasubiri sana, mtasubi (oh mtakesha)
Mtasubiri sana, mtasubi (mtandike jamvi mukae)
Mtasubiri sana mtasubi (mtatungoja sana)
Mtasubiri sana
Bridge
Wanasema eti umeniroga
(Nikweli ila inawahusu nini?)
Hunipendi unanichuna
(Nikweli ila inawahusu nini?)
Eti wanasema wewe ni kicheche
(Nikweli ila inawahusu nini?)
Utanichezea kesho uniache
(Nikweli ila inawahusu nini?)
Final Thoughts
“Mtasubiri” is more than just a song—it’s a testament to enduring love and resilience. The poetic lyrics, delivered with passion by Diamond Platnumz and Zuchu, offer a melody that resonates deeply with fans.
Enjoy the song and let the lyrics guide you through its powerful message! For more updates on your favorite artists, stay tuned to Bekaboy at bekaboy.com
Have you listened to “Mtasubiri” yet? What’s your favorite line from the song? Let us know in the comments!
Leave a Comment