MUSIC AUDIO

Marioo ft. Bien – Nairobi Lyrics

Marioo ft. Bien - Nairobi Lyrics

Marioo and Bien have teamed up to deliver a masterpiece titled “Nairobi”—a beautiful Afrobeat ballad filled with love and nostalgia. This song captures the magic of unexpected encounters, profound love stories, and an irresistible vibe for fans to connect with.

Below is the full breakdown of the song lyrics, thoughtfully arranged for you to read while listening to this mesmerizing tune.

Related: Marioo – The God Son (TGS)

INTRO

Uuh-uuh, yeah, kutoka alooh
Mmh (it’s Kaniba)

VERSE 1

Nilikutana nae kilimani Nairobi
Elfu mbili na kumi na tano
Kibaridi cha asubuhi kijua flani sio kikali saa tano
Ooh, Nairobi, elfu mbili na kumi na tano, oh
Nikamchagua yeye katikati ya wenzake watano

Ah, nikamuomba akaniomba namba
Moyoni mwangu nikampa moja
She’s my number, ah, number, ah moja
Nikamuomba akaniomba namba
Moyoni mwangu nikampa moja
Now she’s my number, ah, number, ah, moja

CHORUS

Yani namaanisha kwamba
Ndio tushaoana
Tushaoana
Ndio tushaoana
Ndio tushaoana

HOOK

(Tushaoana, tushaoana, tushaoana, ah)
(Tushaoana, tushaoana, tushaoana, ah)

VERSE 2

Tulipatana Bongo Mikocheni
Niko zangu beach nala upepo wa bahari
Alinipita kama meli
Anayumbayumba akidondosa kishenzi

Ooh, Mikocheni nikamfata utadhani zombie
Habari gani mbona uko lonely
Jina ni gani akasema Zari

Nikamwambia aje (aje)
Nikamwambia kwangu ni kwake
Nimshike wapi ndo aje
Nataka moyo wangu uwe wake

BRIDGE

Watangoja sana
Wakidhania tutaachana
Mi’ na yeye tumeshaivana
Naichapa usiku na mchana

Aiyaiyayah, aah

CHORUS

Yani namaanisha kwamba
Ndio tushaoana
(Tushaona na yeye sa’ ni mi’ tu na yeye)
Tushaoana
(Tushaona na yeye, eh, sa ni mi tu na yeye)
Ndio tushaoana
Tushaoana, tushaoana, tushaoana, ah
Ndio tushaoana
Tushaoana, tushaoana, tushaoana, ah-ah

OUTRO

Oh, yeah, tushaoana
Ooh, alooh!

The storytelling in “Nairobi” is captivating, with Marioo and Bien perfectly blending their vocals to narrate a heartfelt love story. Whether you’re vibing to the Afrobeat rhythm or diving deep into the lyrics, this song is sure to resonate with you.

Stream “Nairobi” today on your favorite music platforms and let us know your thoughts in the comments!

Leave a Comment