Yammi ft Mbosso – Nitadumu Nae Lyrics
Yammi ft Mbosso – Nitadumu Nae Lyrics –Yammi, a gifted Tanzanian singer-songwriter, recording artist, and songwriter, recently released her newest song, “Nitadumu Nae,” which features Mbosso.
Yammi ft Mbosso – Nitadumu Nae Lyrics
VERSE 1
(Yammi)
Ka kasoma veta, ye ni fundi wa mambo
Atwanga pepeta kwa vya juu viwango
(Mbosso)
Raha naserereka mahaba hayaishi bando
Chumbani heka heka vita ya unyago na jando
(Yammi)
Oooh yeye Ndo amenilemaza kulala kwake kifuani,
Kutwa kunijazajaza mi kajol yeye sharukhan
(Mbosso)
Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani
Raha zimenipumbaza mie hoi taaabani
BRIDGE (Yammi & Mbosso)
Magharibi natafuta sababu, bibi namtafuta babu
Aniita yaa Qalbi majina ya kiarabu
Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu
CHORUS
Nitadumu nae kwa nguvu za manani
Jaribuni Baadae kwa sasa hapatikani
Nitadumu nae kwa nguvu za manani
Jaribuni Baadae kwa sasa hapatikani
(Instrumental Playing)
Oooh oooooh lalala laalala aaah aaah ah
VERSE 2
(Yammi)
So dawa za china si mizizi ya Kongo
Nampa mchai chai na supu ya kamongo
(Mbosso)
Fullstamina anibeba kwa mugongo “Mugongo”
Mambo ya kwenye mtima si kupendana kwa hongo “Kwa hongo”
(Yammi)
Oooh yeye Ndo amenilemaza kulala kwake kifuani,
Kutwa kunijazajaza mi kajol yeye sharukhan
(Mbosso)
Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani
Raha zimenipumbaza mie hoi taaabani
BRIDGE (Yammi & Mbosso)
Magharibi natafuta sababu, bibi namtafuta babu
Aniita yaa Qalbi majina ya kiarabu
Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu
CHORUS
Nitadumu nae kwa nguvu za manani “Nguvu za mananiii nguvu”
Jaribuni Baadae kwa sasa hapatikani “Nimemuweka ndani”
Nitadumu nae kwa nguvu za manani “Mahodari wa kutabiri”
Jaribuni Baadae kwa sasa hapatikani “Hatuachini katu roho zimeungana na miili”
(Instrumental Playing)
OUTRO
Anatembea na roho yangu, anatembea na mwili wangu
Anatembea na pumzi zangu Mimi mimi mimi.
Leave a Comment