ALBUM/EP

TRACKLIST: Alikiba – Starter

TRACKLIST: Alikiba – Starter

TRACKLIST: Alikiba – Starter -Mfalme wa Bongo Fleva @officialalikiba anatarajia kuachia EP yake ya kwanza mnamo September 20,2024.

EP hiyo ameipa jina “STARTER” ikiwa na maana ya Mwanzilishi, ndani ya EP hii Alikiba amewashirikisha Marioo, Jay Melody na Nandy.

Hapa nimekuwekea Mpangilia wa nyimbo zitakazokuwepo kwenye EP (Extended Play) hii ya Alikiba – Starter.

TRACKLIST: Alikiba – Starter

1. Alikiba – Nahodha
2. Alikiba ft Marioo – Top Notch
3. Alikiba – Kheri
4. Alikiba ft Jay Melody – Hatari
5. Alikiba ft Nandy – Bailando
6. Alikiba – Chibaba
7. Alikiba – Nahodha Acoustic

UNAWEZA KU PRE-ORDER EP HII HAPA 👉 PRE-ORDER NOW

Leave a Comment