Lyrics

Darassa ft Harmonize – Mazoea Lyrics

Darassa ft Harmonize – Mazoea Lyrics

Darassa ft Harmonize – Mazoea Lyrics –Darassa, the boss of the Classic Music Group (CMG), a hip-hop group in Tanzania, has released a brand-new sizzling banger called “Mazoea” featuring Harmonize.

Darassa ft Harmonize – Mazoea Lyrics

INTRO

I am trying to tell my friends this is different

Kama you got me end of mission

They say stop play we mzee are you going insane

Unapewa nini masikio you don’t listen

VERSE:1

Verse I

Jana nilikuwa tips eeh zimemwagika pisi

Maradhi pekee, ndio yangefichwa,

Uzuri wako umenijaa kwa kichwa

Nikazikumbuka hips eeh

Unavyong’atang’ata lips eeh

I know that you miss me

Why you don’t come

And kiss me my Baby

Umetawala nchi kavu umetanda Angani

Unanipa Mitihani

Ntatokea njia gani

Uko Nyumbani

Uko Mtaani

Uko kazini Uko Maskani

Huko Viwanjani

Uko Moyoni Umejaa jaa Ndani

Matukio yana rewind rewind Kichwani

Your one of the kind Umeshinza Upinzani

Pozi zako Daah

Ile sura ya furahaa

You’re my friend You’re my lover

You’re my Superstar

Nimeshindwa ku Nimeshindwa kulala last Night

Nakiangalia kitanda we use to play Pillow Fight

Come Back To Me I’m Not Doing Alright

Ukiona Mtu Mzima analia ujue vitu ziko Tight

CHORUS

Hata iwe mapenzi yamekwisha

Kumbuka Kuna mazoea, Eeh Eeehh Baby uuuuhh

Mazoea,

Hata kama mapenzi yanakwisha

Yanabaki mazoea, Eeh Eeehh uuuhh Baby

Mazoea

Instrumental Playing “uuuuuh Uh”

VERSE: 2

Nakunywa pombe nilewe sababu ni wewe, silewi zinanipalia, ooohhh

uuuhhhu

Umenipatia

Oooohh uuuhhhu

Unanijulia

Najipa Imani It’s Okay

My Heart Is Broken

Naogelea Matope

Wacha nijikokote

Wacha Nijikiote

It’s Okay It’s Okay

Na Sitofika Popote

Siunajua Alosto I’m In So Pain

Your Love Inanipa Addiction kama Cocain

Naona kabisa umesha nidemage my Brain

So high Captain Jump Off The Plane

Nimeshindwa ku Nimeshindwa kulala last Night

Nakiangalia kitanda we use to play Pillow Fight

Come Back To Me I’m Not Doing Alright

Ukiona Mtu Mzima analia ujue vitu ziko Tight

CHORUS

Hata iwe mapenzi yamekwisha

Kumbuka Kuna mazoea, Eeh Eeehh Baby uuuuhh

Mazoea,

Hata kama mapenzi yanakwisha

Yanabaki mazoea, Eeh Eeehh uuuhh Baby

Mazoea

Yoo yooh

Leave a Comment