Chege Ft Alikiba – Kipofu Lyrics
Chege Ft Alikiba – Kipofu Lyrics -“Wimbo wa Chege Ft Alikiba – Kipofu” ni moja kati ya nyimbo zinazovuma sana kwa mwaka huu 2024.
DOWNLOAD AUDIO: Chege Ft Alikiba – Kipofu
Wimbo huu unaelezea kisa cha mapenzi ambapo mhusika anajiona kama kipofu katika mahusiano yake. Anashindwa kutambua hisia halisi za mpenzi wake na hivyo anaamua kuwa, licha ya mapungufu na matatizo, anampenda mpenzi wake bila masharti.
Chege Ft Alikiba – Kipofu Lyrics
oooo
Chegelaa
Verse 1 (Chege)
Amenijaa na makopa
Amesusa amenipa vya kushoto
Mlima ma wa Lushuto
Nauona mi nasimama Dede
Napenda Mpaka naogopa
Haki ya Mungu hili penzi la moto
Nabembelezwa kama mtoto
Hadi naimbaga Mama Nibebe
Mi Uooooo uooo
(Bridge)
Anipaga raha za pwani
Ye mwenyeji wa Visiwani
Nikiwa ngangari mwandani
Mapenzi Raha Burudani
Kama naumwa Malaria
Homa yangu ni kali
Kama dawa dozi gani
Homa yangu dozi gani
Yani wewe wa pekee
Mambo mengine we usiongezee
Mwenyewe si unaona
Joto limepanda Degree
(Chorus)
Mi sioni onii ooo, sioni eeeh
Kipofu kabisaaaa, aaahhhh
Napapasa, natapatapa, aaaahhh
naona rahaa, sioni mwenziooo, aaaah
Na mniacheee, aaaaah, aaahhhh aaahhhh
Verse 2 (Alikiba)
Hata kama mapenzi ni ujuzi
Nafsi yangu kanakana
Nikilala nitaambulia mashuzi
Naona ka itashindikana
Bora sasa nifanye mazoezi
Niende sawa na vijana
Nijiepushe kupatwa na uchizi
Waja wakaninyanganya
Mbele sioni na msikio nimezibaaaa
Nyie hamjui, anachonipa kinanifaa
Kunitoa pangoni, kwa sauti yake ya kupendeza
Vya kulala havilaliki, mpaka tunamalizaaa
(Bridge)
Kama naumwa Malaria
Homa yangu ni kali
Kama dawa dozi gani
Homa yangu dozi gani
Kwani wewe wa pekee
Mambo mengine we usiongezee
Mwenyewe si unaona
Joto limepanda Degree
(Chorus)
Mi sioni onii ooo, sioni eeeh
Kipofu kabisaaaa, aaahhhh
Napapasa, natapatapa, aaaahhh
naona rahaa, sioni mwenziooo, aaaah
Na mniacheee, aaaaah, aaahhhh aaahhhh
aahhhh aaahhhh
aahhhh aaahhhh
aahhhh aaahhhh
Bridge
Anipaga raha za pwani
Ye mwenyeji wa Visiwani
Nikiwa ngangari mwandani
Mapenzi Raha Burudaniii
Anipaga raha za pwani
Ye mwenyeji wa Visiwani
Nikiwa ngangari mwandani
Mapenzi Raha Burudaniii
The mix killer
Natapatapaaaaaaaa
Leave a Comment