P Mawenge - Nichukieni Tu
Share this post:

AUDIO: P Mawenge – Nichukieni Tu | Download

Audio
BekaBoy June 3, 2025 0 Comments
AUDIO: P Mawenge – Nichukieni Tu | Download Mp3

Msanii nguli wa muziki wa Hip Hop Bongo, P Mawenge, amerudi tena kwa kishindo kupitia wimbo wake mpya wenye nguvu unaoitwa “Nichukieni Tu”, ambao ni moja kati ya nyimbo zilizomo kwenye albamu yake mpya yenye jina TAMBO ZA VIWANGO.

RELATED: P Mawenge Ft RichKiss – BaWaBa (Bahili Wa Bata)

Albamu ya TAMBO ZA VIWANGO imekuwa gumzo kubwa mitandaoni, ikiwa ni mkusanyiko wa kazi bora za P Mawenge zinazoonyesha ukomavu wake wa kisanaa na uandishi wa hali ya juu. “Nichukieni Tu” ni mfano hai wa namna ambavyo P Mawenge anavyotumia sanaa yake kuzungumzia uhalisia wa maisha, changamoto, na ushindi wa kibinafsi.

Listen to “P Mawenge – Nichukieni Tu” below;

Download MP3
0:00
0:00