Audio

AUDIO: B2K Mnyama Ft Cheed – Hellow | Download

B2K Mnyama Ft Cheed - Hellow
AUDIO: B2K Mnyama Ft Cheed – Hellow | Download Mp3

Msanii mahiri wa Bongo Fleva, B2K Mnyama, ameachia rasmi wimbo mpya uitwao “Hellow” akiwa amemshirikisha Cheed, mkali wa midundo laini na sauti ya kuvutia. Wimbo huu umetoka leo na tayari unatikisa mitandao ya kijamii pamoja na majukwaa ya kusikiliza muziki kama Boomplay, Audiomack, na YouTube.

RELATED: B2K Mnyama – Star

Kuhusu Wimbo “Hellow”

“Hellow” ni wimbo wa mapenzi wenye mashairi yenye hisia kali unaoelezea maumivu, matarajio na matumaini ya mpenzi anayemmiss aliyemtelekeza. Katika huu wimbo, B2K Mnyama anaonesha upande wake wa kihisia kwa sauti ya uchungu huku Cheed akitupia miondoko ya kipekee iliyoongeza ladha ya kipekee.

Listen to “B2K Mnyama Ft Cheed – Hellow” below;

Leave a Comment