Videos

VIDEO: Barnaba Ft. Diamond Platnumz – Salama

VIDEO Barnaba Ft. Diamond Platnumz – Salama
VIDEO: Barnaba Ft. Diamond Platnumz – Salama

Msanii nguli wa Bongo Fleva, Barnaba Classic, ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya unaoitwa “Salama” akiwa amemshirikisha Diamond Platnumz, staa mkubwa wa muziki kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla. Video hii imepokelewa kwa kishindo kubwa na mashabiki, ikionekana kuwa moja ya kazi bora zaidi mwaka huu.

RELATED: Barnaba ft Diamond Platnumz – Salama

Ubora wa Video

Video ya Salama imesimamiwa na director maarufu kutoka Afrika Kusini ambaye ameihakikisha inakuwa na hadhi ya kimataifa. Picha safi, mionekano ya kuvutia, mavazi ya kisasa na ubunifu wa hali ya juu vimeifanya video hii kuvutia na kufikisha ujumbe wa wimbo kwa ufanisi mkubwa

Watch to “Rayvanny Ft Harmonize & Marioo – Pere” below;

Leave a Comment