Audio

AUDIO: Martha Baraka – Hajui Kupenda | Download

Martha Baraka - Hajui Kupenda
AUDIO: Martha Baraka – Hajui Kupenda | Download Mp3

Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Martha Baraka, ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “Hajui Kupenda”, ambao tayari umeanza kugusa nyoyo za mashabiki wengi wa muziki wa Injili. Wimbo huu mpya umetoka kuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa ya muziki kutokana na ujumbe wake mzito unaogusa maisha halisi ya watu wengi.

RELATED: Martha Baraka – Neno

Ujumbe wa Wimbo: “Hajui Kupenda”

Katika wimbo huu, Martha Baraka anazungumzia kuhusu aina ya watu wanaodai kupenda, lakini matendo yao hayaoneshi upendo wa kweli. Anapambanua kati ya upendo wa kimungu na upendo wa kinafiki, akiwataka waumini na jamii kwa ujumla kujifunza kupenda kwa dhati kama Kristo alivyopenda

Listen to “Martha Baraka – Hajui Kupenda” below;

Leave a Comment