Audio

AUDIO: Dogo Paten – Mama Samia | Download

Dogo Paten - Mama Samia
AUDIO: Dogo Paten – Mama Samia | Download Mp3

Katika kuonyesha upendo na kuthamini juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, msanii chipukizi Dogo Paten ameachia rasmi wimbo mpya wa mapenzi unaoitwa “Mama Samia”. Wimbo huu umebeba ujumbe wa kipekee kwa Rais Samia, ukimsifu kwa kazi kubwa aliyoifanya tangu aingie madarakani na kumwahidi ushindi katika uchaguzi mkuu ujao mwaka huu.

RELATED: Dogo Paten Ft Zuchu – Afande

Maudhui ya Wimbo “Mama Samia”

Wimbo wa “Mama Samia” umejaa maneno ya mapenzi na shukrani, ambapo Dogo Paten anamuelezea Rais Samia kama mama mwenye hekima, jasiri, mwenye maono, na anayewapenda Watanzania wote bila ubaguzi. Msanii huyo anasema kupitia wimbo huu

Listen to “Dogo Paten – Mama Samia” below;

Leave a Comment