Barnaba ft Diamond Platnumz – Salama Lyrics
Barnaba ft Diamond Platnumz – Salama Lyrics –Barnaba Classic, a recording artist from Tanzania who has had a string of hits with HighTable Sound, has now released a new Song project under the titled ‘Salama’ featuring Diamond Platnumz.
RELATED: Barnaba ft Diamond Platnumz – Salama
Barnaba ft Diamond Platnumz – Salama Lyrics
Intro:
Ya badman
Mopao
Na samba lama
Aiyoo ohh
Eh he he he
Koma kunichokonoa
Kunifatafata
Kuna muda vinaboa
Aku utanitia doa
Niliyenae moyo wake tishi utaloa
Verse 1
Najua nakuudhi, huyu wa sasa
Amekuzidi maujuzi
So usilete attitude
Kubishana bishana
I’m not in the mood, eeh
Chorus:
Niko salama, salama sijui wewe uko
Uku napenwa nyama – nyama kwa nyama
Sijui wewe uko, weee
Niko salama, salama sijui wewe uko
Uku inabana – bana banana
Sijui wewe uko
Verse 2
Ona usiniulize, hali niko very good
Nimeglow sana, pochi limenona
Ahh ehh mwenzako mimi
Niko very good
Nimeglow sana, pochi limenona
Eeh Alhamdulillah
Angeniuwa yule, maana mtu si mtu
Jini si msukule
Hivi mapenzi gani – kupigana kama shule?
Mie nampa huku, ye anayotoa kule
Bridge
Ohhh nuru hii, ningeitoa wapi?
Kufumania kila siku, kuchikana mashati
Kutukaniwa mpaka ndugu
Ndo mapenzi ya wapi?
Na simu zako usiku wamanane unikome
Kunitumia message, please naomba nikuone
Wewe si jeuri – haya move on tukuone
Na mbichwa wako usiofadhira,
Heshima hata tone
Najua, najua nakuudhi
Huyu wa sasa amekuzidi maujuzi
Eeh najua
So usiniletee attitude
Kubishana bishana
I’m not in the mood, ehh
Mwenzako mimi niko salama
Salama sijui wewe uko
Hooo kazi kwako kigagura
Uku napenwa nyama – nyama kwa nyama
Sijui wewe uko
Ex usiniulize swali
Niko very good
Nimeglow sana
Pochi limenona
Ehh mwenzako mimi
Nimeglow sana
Pochi limenona
Leave a Comment