Boaz Danken, one of Tanzania’s most anointed gospel artists, has released the powerful lyrics to his song Unafanya Mambo Ambayo Mwanadamu Hawezi Kufanya. This song is a deep and uplifting worship track that exalts God’s unmatched power and glory.
For those looking to listen to and sing along to this amazing gospel song, we have provided the full lyrics below. You can also download the song here and experience the divine message firsthand.
Boaz Danken – Unafanya Mambo Ambayo Mwanadamu Hawezi Kufanya Lyrics
(Sing along while listening to the song!)
Weeewe ni Mungu mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Weeewe ni Mungu mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Unafanya Mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi kutoa
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
So mwepesi wa hasira
Haughairi? mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Mungu mwenye wivu
Mtunza maagano?
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Katika ya ghadhabu umekumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
Unafanya Mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi kutoa
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
About the Song
This soul-touching song reminds believers that God’s power is incomparable. It highlights His ability to do the impossible, calm storms, and provide comfort beyond human capacity.
Boaz Danken continues to be a beacon of hope in the gospel music industry, inspiring many with his spiritually uplifting music.
Stream & Download
Click here to download Unafanya Mambo Ambayo Mwanadamu Hawezi Kufanya by Boaz Danken.
Share this song with friends and family to spread the message of God’s greatness!
If you have been touched by this song, leave a comment below and let us know how it has impacted your life. Don’t forget to follow Boaz Danken for more amazing gospel music.
Leave a Comment