MUSIC AUDIO

Nenda Waambie Mungu Ananipenda Lyrics & Mp3 Download

Nenda Waambie Mungu Ananipenda Lyrics & Mp3 Download

Nenda Waambie Mungu Ananipenda Lyrics & Mp3 Download

Kibonge Wa Yesu has released the powerful gospel song “Waambie”, a testimony of God’s love and protection. This song carries a deep message of faith, divine favor, and overcoming obstacles through God’s grace. Below, you’ll find the full lyrics arranged in a way that allows you to sing along while listening to the song.

Download “Waambie” by Kibonge Wa Yesu here: Download Now

Kibonge Wa Yesu – Waambie Lyrics

Nenda waambie ee wajue mungu ananipenda ×2

Ile mitego tego walonitegea ameitegua aaah
Na mipaka yote niloekewa wameiondoa aaah

Wakafanya mpaka matambiko oooh
Ili niweze potea
Kwa huruma za mungu bado nipo oooh
Yeye amenitetea aaa

Wamezuia maji kwa chujio
Na yameshindwa yao majaribio
Mola ndo mpaji
Mafanikio yalotoka kwake akisema ndio ooo

Ameniongeza hatua aaah
Mbele ee nasogea aah
Sipo pale pale nilipokua janaa ×3

Nenda waambie eeh
Wajue ee mungu ananipenda ×4

Kwa vile ananipenda aah kivyovyote nitaseema
Hakuna atakayezuia hata kwa yoyote hiilaa
Na aaa ameyaweka mambo sawa aaah
Na sasa mimi niipo salama

Ameniongeza hatuaaa mbele nasogea
Sipo pale pale nilipokuwaaa jaaana aah ×2

(Ameniongezaaa) ameniongeza hatua
(Mbeleee) mbele nasogea
(Sirudi nyuma tena) sipo pale pale nilipokuwa jana aaah

(Nakutumaaa waambieee)
Nenda waaambie
(Waambie eee) wajue mungu ananipenda

(Anavonijalii iii) nenda waambie
(Ananipenda) wajue (ananitunza yeeyee)
Nenda waambie eee wajueee mungu ananipendaa ×2

About the Song “Waambie”

Kibonge Wa Yesu delivers an uplifting message in “Waambie”, emphasizing God’s unwavering love and protection. The song is a heartfelt testimony that encourages believers to trust in divine intervention despite life’s challenges.

Song Title: Waambie
Artist: Kibonge Wa Yesu
Genre: Gospel
Stream & Download: Download Here

“Waambie” by Kibonge Wa Yesu is an inspirational song that reassures us of God’s love. Feel free to download, share, and enjoy this powerful gospel tune!

Share this post with fellow gospel music lovers!

Leave a Comment