Tanzanian singer Jay Melody has once again captivated fans with his latest love song, “Wa Peke Yangu.” Known for his soulful voice and heartfelt lyrics, Jay Melody delivers a romantic masterpiece that speaks to deep affection and true love.
Jay Melody – Wa Peke Yangu Lyrics
(Intro:)
Aaah aaah aaah… Jay once again…
(Verse 1:)
Vimacho na zake lipsi, kumpata sio rahisi
Yani kweli Mungu umenibariki, mimi umenibariki
Na kabla ya hii gift, ukatufanya marafiki
Mpaka sasa penzi liko lit, moto kiukweli
(Pre-Chorus:)
Yani kama, nimeokota dodo, chini ya mperaah
Nimeokota dodo, nasiambiliki
Hata kidogo, mwenzenu mimi
Nimeokota dodo
(Chorus:)
Wapeke yangu huyu (x2)
Wapeke yangu (x2)
Jamani wapeke yangu huyu
Wapeke yangu huyu
Wapeke yangu (x2)
(Verse 2:)
Mapenzi gani haya anayonipa
Mpaka damu nasikia inavyopita
Kwenye moyo mbio, kwenye mishipa
Au tuseme ndo kashanishika
(Pre-Chorus:)
Yani kama nimeokota dodo, chini ya mperaah
Nimeokota dodo, nasiambiliki, hata kidogo
Mwenzenu mimi, nimeokota dodo
(Chorus:)
Wapeke yangu huyu (x2)
Wapeke yangu (x2)
Jamani wapeke yangu huyu
Wapeke yangu huyu
Wapeke yangu (x2)
(Bridge:)
Darling yuko moyoni, navomuota usingizini
Jamani darling yupo moyoni, navomuota usingizini
(Outro:)
Wapeke yangu huyu (x2)
Wapeke yangu (ooh nananaaah)
Wapeke yangu
Jamani wapeke yangu huyu (mimi hapa)
Wapeke yangu huyu
Wapeke yangu (x2)
Download “Wa Peke Yangu” by Jay Melody
Fans can now enjoy “Wa Peke Yangu” by downloading the song here: Download Now
Leave a Comment