Dully Sykes Ft. Marioo – Kijiti Lyrics
Tanzanian music legend Dully Sykes teams up with the sensational Marioo to bring us a brand-new hit titled Kijiti. This song blends catchy melodies with an electrifying beat, making it an instant favorite for Bongo Flava lovers.
For those looking to sing along while listening, here are the full lyrics to Kijiti. You can also download the song here and enjoy it anytime.
Kijiti – Dully Sykes Ft. Marioo Lyrics
[Intro]
Kutokaaaa
Hellooooo
[Verse 1]
Mwanamke apewe hela nyingi
Eeeeeh!
Mwanamke apewe matunzo
Hudumiaaaah!
Mwanamke hapigwi ngumi
Ngumi jiwe
Eeeehhh!
Mwanamke anadekezwa
[Chorus]
Bebe zinapenda
wanaume kama sisi
Sisi tunapenda
wanawake wazuri
Bebe zinapenda
wanaume wanukie
Na sisi round hii
tunanukia hela
I do like woman
Go bad gooooo!!
I do like woman
Bry bang bang!!
I do like woman
Go bad gooooo!!
I do like woman
[Bridge]
Hakuna mkate mgumu
Mbele ya chai chai
Washa kijiti
Kijitiiii!!!
Watoto wanpenda
Kijiti
Kijiitiii!!!
Wawashie kijiti iiih
Kijiitiii!!!
Watoto wanapenda kijitiiiih
Kijiiitiii!!
[Verse 2]
Tuko busy
Kutafuta hela
Juu chini
Mchana usiku
Yote kwasababu
Ya mapenzi
Watoto siku hizi
Hawapendi sura
Hawapendi majigambo
Wao wanapagawa
Na shoow
Show kalii
Busy kutafuta hela
Juu chini
Mchana usiku
Yote kwasababu
Ya mapenzi
Watoto siku hizi
Hawapendi sura
Hawapendi majigambo
Wao wanapagawa
Na shoow
[Hook]
Kriiii bang bang
Show kalii
Sunna wanne
Mmoja hanitoshi
Me nataka wanne
Sunna wanne
Mmoja hanitoshi
Me nataka wanne
I do like woman
Go bad gooooo!!
I do like woman
Bry bang bang!!
I do like woman
Go bad gooooo!!
I do like woman
[Outro]
Hakuna mkate mgumu
Mbele ya chai chai
Washa kijiti
Kijitiiii!!!
Watoto wanapenda
Kijitiiii
Kijiiitiii!!
Wawashie kijiiitiii
Kijiitiii!!
Watoto wanapenda kijitiiiih
Kijiitiiii!!!
Download Dully Sykes Ft. Marioo – Kijiti
Want to listen to Kijiti while reading the lyrics? Download the song here and enjoy the latest hit from Dully Sykes and Marioo.
Don’t forget to share and let us know what you think about this banger in the comments!
Why This Song is Trending?
- Features two of Tanzania’s biggest music stars: Dully Sykes & Marioo.
- A catchy chorus that resonates with fans of Bongo Flava.
- A perfect blend of Afrobeats and Bongo Flava vibes.
- Danceable beat and sing-along lyrics that make it a club hit.
Stay tuned to Bekaboy for more new music releases, lyrics, and entertainment updates!
Leave a Comment