Tanzanian hip-hop sensation Darassa has teamed up with the talented Mbosso to bring fans an emotional and heartfelt song, Looking For Love. This track explores the struggles of finding true love, blending deep lyrics with an Afrobeat rhythm that resonates with many.
Looking For Love Lyrics – Darassa Ft. Mbosso
Verse 1
Mapenzi yalianzia 10
Kazi kubwa ni ku maintain
Nilishatoka na dem Magomeni
Tukaja kumwagana Mikocheni
Nika repeat again and again and again
Hakuna nilichogain zaidi ya pain
Eeeeeiii aaaaaah
Si mkae mtulie
Ninaiweka rehani yoho yangu mimi
Penzi ni mitihani kila siku mimi
They told me love is work of magic
I have been praying for something like this
Wait and wait sana, make so many wish
Usiku na mchana I make so many wishes
Some people told me that it does not exist
Unaota ndozo za mchana vipi?
Kunywa maji kwanza, pumzika kwa kiti
Na uvute pumzi, that love doesn’t exist
Pre-Chorus
Nimeenda West Africa, I’m looking for love
They told me love does not live here
I have been to South and North desper for love
Napishana na wapita njia
East and Central Africa, wapi kuna love?
Kila naye muulizia
I close around the world seeking for love
They told me love don’t live here
Chorus
Niseme sina bahati
Ama mambo hayajanyooka
Nayemtaka simpati
Labda tatizo ni nyota
Ama usela, uselaa
Nipunguze usela
Maana mapenzi na usela
Ni kutia chumvi kwenye pera
Usela, usela
Nipunguze usela
Maana mapenzi na usela
Ni kutia chumvi kwenye pera
Verse 2
Kutafuta pesa sishindwi
Kwa njia zote hustle nazijua
Ila mapenzi ndo inayonizuzua
Na yakipanda kichwani inanisumbua sana
Nakunywa pombe kali
Huko ndani maini inaungua
Navuta sigara
Nachoma kifua
Yote mapenzi ndo
Inanisumbua sana
Bridge
Oh, mapenzi kilio
Nenda waulize wenzio
Ni mdudu wa sikio
Akikung’ata husikii la yeyote
Ohh, kilio
Nenda waulize wenzio
Ni mdudu wa sikio
Akikung’ata husikii la yeyote
Pre-Chorus
Nimeenda West Africa, I’m looking for love
They told me love don’t live here
I have been to South and North desper for love
Napishana na wapita njia
East and Central Africa, wapi kuna love?
Kila naye muulizia
I close around the world seeking for love
They told me love don’t live here
Chorus
Niseme sina bahati
Ama mambo hayajanyooka
Nayemtaka simpati
Labda tatizo ni nyota
Ama usela, uselaa
Nipunguze usela
Maana mapenzi na usela
Ni kutia chumvi kwenye pera
Uselaa, uselaa
Nipunguze usela
Maana mapenzi na usela
Ni kutia chumvi kwenye pera
Related: Darassa Ft Mbosso – Looking For Love
Looking For Love is a relatable song that reflects the emotional struggles of searching for true love. Darassa and Mbosso deliver a powerful message through their poetic lyrics, making this track a must-listen for fans of Bongo Flava and African love songs.
Listen to “Looking For Love” and let us know your thoughts in the comments!
Leave a Comment