Lyrics

Darassa ft Harmonize – Mazoea Lyrics

Tanzanian rap sensation Darassa has once again delivered a heartfelt banger, this time teaming up with Harmonize on the emotionally charged track “Mazoea.” The song speaks about love, heartbreak, and the deep-rooted memories that remain even after a relationship ends. With smooth vocals from Harmonize and Darassa’s signature lyrical flow, Mazoea is bound to resonate with fans who have experienced the bittersweetness of lost love.

Darassa Ft. Harmonize – Mazoea (Lyrics)

INTRO

I am trying to tell my friends this is different
Kama you got me, end of mission
They say stop play, we mzee, are you going insane?
Unapewa nini, masikio you don’t listen

VERSE 1

Jana nilikuwa tips eeh, zimemwagika pisi
Maradhi pekee, ndiyo yangefichwa
Uzuri wako umenijaa kwa kichwa
Nikazikumbuka hips eeh
Unavyong’atang’ata lips eeh

I know that you miss me
Why you don’t come
And kiss me my Baby?

Umetawala nchi kavu, umetanda angani
Unanipa mitihani
Nitatokea njia gani?
Uko nyumbani, uko mtaani
Uko kazini, uko maskani
Huko viwanjani
Uko moyoni, umejaa jaa ndani

Matukio yana rewind, rewind kichwani
You’re one of a kind, umeshinda upinzani

Pozi zako daah
Ile sura ya furaha
You’re my friend, you’re my lover
You’re my superstar

Nimeshindwa kulala last night
Nakiangalia kitanda, we used to play pillow fight
Come back to me, I’m not doing alright
Ukiona mtu mzima analia, ujue vitu ziko tight

CHORUS

Hata iwe mapenzi yamekwisha
Kumbuka kuna mazoea, eeh eeehh
Baby uuuuhh… mazoea

Hata kama mapenzi yanakwisha
Yanabaki mazoea, eeh eeehh
Uuuhh… baby mazoea

(Instrumental playing: “Uuuuuuh uh”)

VERSE 2

Nakunywa pombe nilewe sababu ni wewe
Silewi, zinanipalia, ooohhh uuuhhhu
Umenipatia, oooohh uuuhhhu
Unanijulia

Najipa imani, it’s okay
My heart is broken
Naogelea matope
Wacha nijikokote
Wacha nijikiote

It’s okay, it’s okay
Na sitofika popote

Si unajua, Alosto, I’m in so pain
Your love inanipa addiction kama cocaine
Naona kabisa umesha nidemage my brain
So high, captain jump off the plane

Nimeshindwa kulala last night
Nakiangalia kitanda, we used to play pillow fight
Come back to me, I’m not doing alright
Ukiona mtu mzima analia, ujue vitu ziko tight

CHORUS

Hata iwe mapenzi yamekwisha
Kumbuka kuna mazoea, eeh eeehh
Baby uuuuhh… mazoea

Hata kama mapenzi yanakwisha
Yanabaki mazoea, eeh eeehh
Uuuhh… baby mazoea

Yoo yooh…

Related: Darassa – Channel

“Mazoea” is a deeply emotional track that captures the essence of love, loss, and nostalgia. The powerful collaboration between Darassa and Harmonize brings out the pain of heartbreak while highlighting the strong bond left behind by unforgettable memories. The song’s catchy melody, soulful lyrics, and smooth production make it a must-listen for fans of Bongo Flava.

Leave a Comment