Lyrics

Billnass Ft Mbosso – Boda Lyrics

Billnass Ft Mbosso – Boda Lyrics

Tanzanian rap sensation Billnass has joined forces with Mbosso to deliver a brand new love song, Boda. The song blends smooth Bongo Flava melodies with heartfelt lyrics, creating a romantic anthem that resonates with many fans.

If you’re looking for a sweet love song with deep emotions and catchy lyrics, Boda is the perfect track for you! Download the song now and enjoy it as you read along with the lyrics below.

Download “Boda” by Billnass Ft. Mbosso Here:
Click to Download

Billnass Ft. Mbosso – Boda Lyrics

Ndo kwanza tupo kilomita sita
Funga mkanda bado hatujafika
Huku njiani kuna vita
Subira itahitajika

Shida, mitihani
Binadamu tumeumbiwa
Na mapenzi ni burudani
Toka enzi tuliambiwa

Umeleta furaha
Kipindi cha mashaka
Moyo ulipakwa mikaa
Umeutakasa sasa

Chorus

Sababu sina
Sina sababu
Nikiulizwa nimependa nini
Sina jawabu

Niwe wako boda boda
Boda boda boda
Popote tutatembea
Boda boda boda

Ooh hutolipia feaa
Boda boda boda
Foleni hutongojea

Billnass

Nakukamatia juu
Nakukamatia chini
Watu wote wanajua
Nakukamatia mimi

Wanafki wambea
Watakamatia nini?
Acha waende waturoge
Si tukamatie dini

Story za mapenzi
Si tunafaa
Washasemaga mengi
Miaka kadhaa

Na bado tuna trend
Usiku na saa
Si uko na Mnyamwezi?
Kibana baa kibana baa

Habib ee
Siri ndogo ndogo nifichie
Kama nikikosa niambie
Na nikipatia nisifie
Unisifie baby

Habib ee
Siri ndogo ndogo nifichie
Kama nikikosa niambie
Na nikipatia nisifie
Unisifie

(Chorus – Repeat)

Sababu sina
Sina sababu
Nikiulizwa nimependa nini
Sina jawabu

Niwe wako boda boda
Boda boda boda
Popote tutatembea
Boda boda boda

Ooh hutolipia feaa
Boda boda boda
Foleni hutongojea

With Mbosso’s soulful voice and Billnass’ poetic flow, Boda is a masterpiece that celebrates true love and commitment. Whether you’re in love or just appreciate good music, this song is a must-listen!

Don’t miss out – Download & Enjoy!
Click Here to Download

What do you think about this song? Drop your thoughts in the comments below!

Leave a Comment