Tanzanian singer Asagwile has officially released the lyrics to his brand-new song “Ndoa.” This song is a heartfelt celebration of love and marriage, capturing the essence of commitment and joy in a relationship. Below are the full lyrics of Ndoa, arranged in a way that allows you to follow along while listening to the song.
Asagwile – Ndoa Lyrics
(Verse 1)
Chemichemi yako ibarikiwe, furahia mke wa ujana wako
Chemichemi yako ibarikiwe, furahia mume wa ujana wako
(Chorus)
Aiii yoyoooo x3
Nakupenda ww x2
Mungu kanipa ww kama zawadi, unifae katika shida na raha
Mungu kanipa ww kama kipaji, nianze mwanzo mpya wa furaha
(Verse 2)
Nakupenda mwari ww
Ww mzuri lolo ww
Nakupenda sweets ww
Ww mzuri mamy ww
Ww ndiye niliyepewa na Mungu
Ww ndiyo chaguo langu fungu
Nakupenda lolo ww
Ww mzuri mwari ww
Nakupenda sweets ww
Ww mzuri lolo ww
(Bridge)
Mwari weeeeeeee
Sweets weeeeee x3
(Verse 3)
Usiku wa leo umebarikiwa
Mwanamwari umebarikiwa
Marafiki wamebarikiwa
Ndugu wazazi wamebarikiwa
Na wageni wamebarikiwa
(Outro)
Aseee, leta shampeni, weka keki mezani
Waite wageni, tule tujivinjari x2
Nataka nikuite ww mama yoyooo
Na ww uniite mm baba yoyooo
Sawaaaaa tujenge familiaaaa sawaaaa
Tuzae na watoto sawaaaa
Nakupenda lolo ww
Weeee mzuri mwari ww
Nakupenda sweets ww
Weeee mzuri mwari ww
Download Asagwile – Ndoa
Fans of Asagwile can download “Ndoa” by clicking the link below:
🎵 Download Here
Leave a Comment