New Audio

Abigail Chams Nyimbo Mpya – Me Too

Abigail Chams Nyimbo Mpya – Me Too

Msanii mahiri wa muziki wa Bongo Fleva, Abigail Chams, amerudi tena na nyimbo yake mpya inayoitwa “Me Too”, ambayo amemshirikisha mkali wa muziki, Harmonize. Wimbo huu wa mahaba ni jibu kwa mpenzi wake, akimwambia kuwa “anampenda pia”.

Abigail Chams Ft Harmonize – Me Too

Katika wimbo huu, Abigail Chams ameonesha ustadi wake wa muziki kwa sauti nyororo inayovutia, huku Harmonize akiipa ladha ya kipekee na sauti yake yenye hisia kali. “Me Too” ni moja ya nyimbo zinazovutia mashabiki wa muziki wa Afrobeat na Bongo Fleva, ikizungumzia mapenzi ya dhati na kujibu hisia za mpenzi.

Harmonize ameendelea kuthibitisha kuwa ni msanii mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza hits za kimataifa, na ushirikiano wake na Abigail Chams kwenye wimbo huu unazidi kuleta ladha nzuri kwa mashabiki wa muziki wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Pakua Abigail Chams Nyimbo Mpya – “Me Too” Ft Harmonize

Mashabiki wa Abigail Chams na Harmonize, sasa mnaweza kusikiliza na kupakua rasmi wimbo huu mpya kupitia link hapa chini:

Download & Listen Here Bekaboy – Me Too

Usisahau kushare na marafiki zako na kuendelea kufuatilia Bekaboy kwa habari zote mpya za burudani!

Leave a Comment