News

Traore in Tanzania

Traore in Tanzania

Rais wa Mpito wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, ni miongoni mwa viongozi wa nchi 25 watakaohudhuria Mkutano wa Nishati unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania, tarehe 27 na 28.

Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayehusika na nishati na mabadiliko ya hali ya hewa, Dk. Kevin Kariuki, amebainisha kuwa mkutano huo pia utawahusisha mawaziri wa fedha na nishati kutoka nchi 60 za Afrika.

Read Also: Ally Kamwe amlipua vibaya Mzee Magoma

Katika mikutano kama hii, Rais Traoré mara nyingi huambatana na walinzi wake, ambao huvalia mavazi ya kijeshi yanayofanana na yake, jambo linaloongeza haiba na upekee wa uwepo wake.

Mkutano huu unatarajiwa kuleta mjadala muhimu kuhusu maendeleo ya sekta ya nishati barani Afrika.

Leave a Comment