Share this post:

AUDIO: Nandy – Sugar | Download

New Audio
BekaBoy May 29, 2025 0 Comments

AUDIO: Nandy – Sugar | Download Mp3

Nandy – Sugar -Wimbo wa “Sugar” ni kazi ya msanii maarufu wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Nandy, aliyejulikana pia kama “The African Princess.” Wimbo huu ulitolewa rasmi mnamo Januari 2025 na kuzalishwa na mtayarishaji mahiri S2kizzy .

RELATED: Nandy – Mlete

Sugar” ni wimbo wa mapenzi unaoelezea hisia za upendo wa dhati na tamu. Katika wimbo huu, Nandy anatumia maneno ya kimapenzi kuelezea jinsi anavyovutiwa na mpenzi wake, akifananisha upendo huo na utamu wa asali na sukari.

Sikiliza na kupakua “Nandy – Sugar” hapa chini;

Download MP3
0:00
0:00