MUSIC AUDIO

D Voice Ft. Zuchu – Bambam Lyrics

D Voice Ft. Zuchu - Bambam Lyrics

The much-awaited track BamBam by D Voice featuring the sensational Zuchu has officially dropped, and it’s all about love, passion, and the chemistry between the two artists. The song brings a unique blend of romance, catchy beats, and relatable lyrics. If you’re listening to this vibrant track, here’s a detailed breakdown of the lyrics, so you can follow along while enjoying the music.

BamBam Lyrics

Chorus: Oshumba na mashumba wena
Oshumba na mashumba wena
Oshumba na mashumba weena
Oshumba na mashumba wena
Oshumba na mashumba wena
Oshumba na mashumba weena
Oshumba na mashumba wena
Oshumba na mashumba wena

Verse 1: Aika tox aikatai
Na enjoy mapenzi ananipenda wallah
Sikuizi ki boss acha nijidai
Penzi limefana kama suti na tai limenogaa aah!
Raha tu chumbani bafana bafana
Kitandani ananichezesha shere
Nimeoza moyo maini maini paka bandama
Ye ndo kucha kanikuna kiperee

Pre-Chorus: Asa! Wenzenu leo atulali kitanda cha moto
Wakubwa tunakesha kulala tuwaachie watoto
Usiku ndo hatari moto juu ya moto
Tunaziama sayari yaani chocho juu ya chocho

Chorus: Mi na yeye bam bam bam
Ye ndo hawa mi adam dam dam
Wenzenu penzi letu tam tam tam
Mi na yeye dam dam dam
Zuu chu chu chu chu!

Verse 2: My baby good morning itika how are you (How are you)
Mi siko fine toka jana usiku
Nisipo kuona tu honey mi presha yawa juu (Yawa juu)
Naogopa vinyani visikuibe my boo
Oooo ooh! kwake natolewa miba
Wa samaki kolekole (Oooo ooh!)
Ananilisha nashiba
Kisha ananipa pole onana
Onanana ononono
Pendashana I love you more more

Bridge: Na tukigombana mtulize mishono
Tunajuwana mtachoka midomoo
Wenzenu leo atulali kitanda cha moto (Eh!)
Wakubwa tunakesha kulala waachie watoto
Usiku ndo hatari moto juu ya moto
Tunaziama sayari yaani chocho juu ya chocho

Chorus (Repeated): Mi na yeye bam (Weee!) bam bam
Ye ndo hawa mi adam dam dam
Wenzenu penzi letu tam tam tam
Mi na yeye dam dam dam
Tamtam tamtam tam tam

Outro: Aaaah aah! Aaaah aah!
Hhhhm hhm! Hhm! Hhm!
Hhhhm hhm! Hhm!
Onanana ononono
Pendashana I love you more more
Na tukigombana mtulize mishono
Tunajuwana mtachoka midoomo

Read Also: D Voice – Swahili Kid

The lyrics of BamBam reflect a playful and passionate love story. From the opening chorus repeating “Oshumba na mashumba wena” to the affectionate exchanges in the verses, the song offers a fun and infectious rhythm. The chemistry between D Voice and Zuchu shines through as they sing about enjoying their time together, overcoming challenges, and continuously showing love to each other, even through disagreements.

Leave a Comment