Ibraah Ft Harmonize – Leo Lyrics
Ibraah Ft Harmonize – Leo Lyrics -The song “Leo” by Ibraah featuring Harmonize is a collaboration between two Tanzanian Bongo Flava stars. Released under Konde Music Worldwide, it showcases their signature smooth vocals and captivating melodies. The song blends love-themed lyrics with a rhythmic and melodious beat typical of the Bongo Flava genre.
RELATED: Ibraah Ft Harmonize – Leo
Ibraah Ft Harmonize – Leo Lyrics
oya we oya oya
oya oya
oya oya oya
zara boy pass me the weed am about to say some real sh*t nigga
ni kama
ni kama nimetoroka milembe
bomboclaaaaaat
oya we
mek menk
sina changu,
nachoamini ipo siku ntazipqta najua
ogopa dhambi
shukuru mungu kwa pumzi unayopumua
siku hazigandi
nachoshukuru skuhizi wanafki wamepungua
uongo dhambi
sote tunajuaa, tunajua
duniani kambi
na maisha ni hatuaaa ni hatua
uki mind mind
ikipangwa huwezi pangua, kupangua
kabla chochote
lolote
mungu kwanza
na tukipata tunashukuru
Mungu kwanza
oya popote
kivyovyote eh eeh
mungu wa kwanza
na tukikosa hatukufuru
mungu kwanza
oooh ooh
naishi leoo siishi jana
ooooooh
anaepanga kesho maulana
eh, oooh
naishi leo siishi jana
oooh oooh
anaepanga kesho maulana
yaw yaw
mitaa imenifanya niwe konde
kondee
napendwa ninenepe nikonde
I don’t fear them
simuogopi mwenye kisu
mana Mungu wangu anapanga
ata wakifanya figisu bure
mkononi kwa waganga
oh, konde gang
chama lenu
hili goma
kwa ajili yenu
wengine wote baby zenu
ila kajala
ndo mama yenu
eti sifanikiwi
mara oooh eti harudiwi
shida nikishavuta me kiziwi
nikishamoka me kiziwi
kabla ya chochote
kwa lolote
mungu kwanza
tukipata tunashukuru
mungu kwanza
popote kivyovyote
mungu kwanza
tukikos hatukufuru
mungu kwanza
amen
naishi leo siishi jana
oooh ohh
anaepanga kesho maulana
eh oooohhh
naishi leo siishi jana
oooooh oohh oohh
anaepanga kesho maulana
(caugh) yaw yaw
konde boy call me number one
chingaa
konde music worldwide
bombo hahahah
Leave a Comment