Marioo ft Harmonize – Wangu Lyrics
Marioo ft Harmonize – Wangu Lyrics –Marioo, a Tanzanian recording artist, singer, and songwriter for Bongo Fleva who is quickly rising in the industry, has blessed us with a brand new hit song titled “Wangu“ featuring Harmonize.
RELATED: Marioo ft Harmonize – Wangu
Marioo ft Harmonize – Wangu Lyrics
Yoh! yoh!
Bomboclaaaat!
Aah!
Kutoka Haloooh!
kama utani moyoni yameingia na mimi nishazama,
tulikutana Tik Tok ndio mwanzo wa kufamihana,
mara ghafla bi vu kila kitu tunaeendana,
ameniweza ka ulimbo, sitaki acha kumtizama eeh!,
Penzi mbona limenoga tamu kuzidi hata soda,
penzi mbona linamwagika kama maji ya bomba
Penzi mbona limenoga tamu kuzidi hata soda,
penzi mbona linamwagika kama maji ya bomba
hasa nataka wajue unanipenda niite baby(baby wangu)
kwa wasio amini we ni wangu niite my wangu(my wangu)
hata ukinipost caption andika sweet(sweet wangu)
wakija kukutongoza waambie nina mpenzi(mpenzi wangu)
mmh!
aaah!
kondeboy call me number one
Muombe Mungu uzima,
tatizo la mapenzi kanituma mimi,
nikupee(nikupeende)
your my only one mlima,
we fly in any weather,
wa ubani ndo mimi wa upendo nikupee(nikuupeende)
muoga wa kucheat ndo huwezi,
ya uongo ndio kabisa siwezi,
na nlikizauma we ndio nyota mbalamwezi,
nakupost wajue sijiwezi baby onaa
Penzi mbona limenoga tamu kuzidi hata soda,
penzi mbona linamwagika kama maji ya bomba
Penzi mbona limenoga tamu kuzidi hata soda,
penzi mbona linamwagika aah kama maji ya bomba
mi nataka wajue kama unanipenda niite baby(baby wangu)
na kama ukinipost snapchat niite my wangu(my wangu)
my one and only
my love, my sweet(sweet wangu)
wakija kukutongoza wajibu we unampenzi
mpenzi wangu
Bomboclaaaat!
Leave a Comment