Lyrics

Nandy ft Harmonize – Usemi sina Lyrics

Nandy ft Harmonize – Usemi sina Lyrics

Nandy ft Harmonize – Usemi sina Lyrics –Nandy, a talented Pare actress, singer, and composer, is from Moshi, a city in Tanzania’s Kilimanjaro region. Her most recent single, “Usemi sina” featuring Harmonize.

RELATED: Nandy ft Harmonize – Usemi sina

Nandy ft Harmonize – Usemi sina Lyrics

Verse 1

Utadanganya kusema wengine huwawazi
Ukweli ni kwamba wanaume vichwa wazi
Mpaka nakosa majibu
Hili penzi lishachanganywa na wivu
mama kanifunza utulivu
Ananinisitiza usikuvu
Sa kwanini nisitulie
Mfano unaninyima nini
Uko radhi we uuumie furaha nipate mimi

CHORUS

Usemi sina, sina, sina
Chakusema sina tena, usemi sina
Usemi, sina, sina
Usemi sina, usemi sina
Chakusema sina

VERSE 2

Mapenzi ni maua
Moyoni mwangu yanachanua
yalishawahi taka kuniua, usishangae najishaua
Nilipoteza hamu ya kula, ndo mana kila anachonipa nakula
Iwe papa amachura, nakula ndo kisha nakula
Sa kwanini nisitulie
Mfano unaninyima nini

CHORUS

Uko radhi uugulie utamunipate mimi
Usemi sina, sina, sina
Chakusema sina tena, usemi sina
Usemi, sina, sina
Usemi sina, usemi sina
Chakusema sina

Leave a Comment